kesi ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI NA TATHMINI: FINAL SUBMISSIONS ZA TUNDU LISSU NA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI | Treason case no. 19605 / 2025

    Uzi huu unaendelea na uchambuzi wa Final Submission katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu. Katika sehemu ya kwanza, nilichambua hoja zilizotolewa na Tundu Lissu katika utetezi wake mwenyewe. [ Gusa maandiahi haya kwa kusoma Bandiko hilo ] Sasa, baada ya upande wa Jamhuri...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
  5. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi na tathimini | final submission ya Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili

    Uzi huu ni wa uchambuzi na Tathmini ya Final Submission Ya kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu (TAL) Vs Jamhuri. Katika Hatua hii ya Kesi "Final Submission". LISSU akijitetea mwenyewe kwa kufanya Finalizing ya Ushaidi, hoja na Kukosoa Miendendo ya Kesi, Kukosoa Mashaidi wa mashtaka...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea. Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani Kaa tayari kwa updates ===== Leo September 28, 2026 Last time tuliishia 467 Sehemu ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya maelezo ya Lissu alliyoyatoa mahakamani leo kwenye final submission yake. Tena tukumbuke ni Jamuhuri ndio walitakiwa wawaite kama mashahidi wa upande wa mashitaka ili kuthibisha ni kweli serikali ilitishika kama sheria inavyotaka kwa mujibu wa Lissu na...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani. Kaa tayari kwa Updates ------------- MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026. Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatano, Septemba 23, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mahakama kinatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  13. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Nani kununua kesi ya Uhaini ya TAL

    Nawaza tu ni kama kesi inalipa ile inaweza pata mnunuzi..
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high coooooourt Majaji wameingia. Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CRDB haistahili lawama kwa risiti na pay-in-slip zinazomhusu Heche zilizoonyeshwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
  16. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali Kutumia Nguvu Kubwa Kuhoji Michango ya TONETONE Kwenye Kesi ya Uhaini ni Kuonyesha Udhaifu wa Prosecution side

    Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu Lissu? Hakika Sasa hata kama kesi iliyo mahakamani haijadiliwi lakini sio katika utoto wa Aina hii...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Maduhu: CDF Jacob Mkunda,IGP Camillius Wambura Na DCI Ramadhani Kingai Na Utetezi Dhidi Ya Kesi Ya Uhaini Inayomkabili Mhe Lissu

    Mtambuka tarehe 21 Agosti 2026 Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dastani Ndunguru ilimkuta mhe Lissu na kesi ya kujibu kwenye kesi yake ya uhaini inayomkabili. Soma pia: Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye mwanzilishi wa 'No Reforms No Election' 2024, kwanini hakuunganishwa kwenye kesi ya uhaini ya Lissu.

    Moja ya mashitaka kwenye kesi ya uhaini ya Lissu ni kutumia kauli ya No Reforms No Election, kauli ambayo mwasisi wake ni Mbowe aliyekuwa Mkiti wa Chadema 2024. Kwanini mahakama isimuite Mbowe aje afafanue alikuwa na maana gani badala ya kumbana Lissu peke yake atoe ufafanuzi, au kwanini hakuwa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

    Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika, na kwa unafiki, maombi ya kipepo na...
Back
Top Bottom