Kiburi-ji (来振寺) is a Buddhist temple in Ōno, Gifu Prefecture belonging to the Chisan sect of Shingon Buddhism. The temple claims to have been founded as the Hossō sect temple of Shinpuku-ji by the wandering priest Gyōki in 715 AD. It was burned down by Oda Nobunaga in 1560 and subsequently rebuilt with the support of Toyotomi Hideyoshi, Tokugawa Ieyasu and the Toda clan of Ōgaki Domain during the Edo period.
The temple possess a Heian period set of five scroll painting depicting the five Myō-ō (Fudō Myō-ō, Gōzanze Myō-ō, Gundari Myō-ō, Daiitoku Myō-ō, and Ususama Myō-ō which is a National Treasure of Japan.
Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
MY TAKE;
Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.
Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je...
Wito kwa Watanzania.
Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana.
Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo...
Katika familia yetu tulikuwa vijana wengi sana, hata tulipoanza safari ya masomo tulianza sote na kumaliza kwa pamoja.
Kila mara nilikuwa nachelewa kufika shule na kuadhibiwa. Maonyo yalikuwa mengi na adhabu nyingi sikusikia kabisa.
Baadhi ya walimu walisema " kijana Dunia shujaa, walimwengu...
Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo.
Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho.
Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.
Mbaya...
Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi.
Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole.
Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu...
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu
Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana
Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi
1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na uwekezaji utapungua. Kwa mfanya biashara sasa atapata riba ya juu sana kama anakopa bank za nje kuja...
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?
Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao?
Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno.
Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje?
Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno?
Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
Kiongozi jitahidi kuacha yako uliyonayo, bali ita vikundi mbalimbali jadili nao. Viongozi Wa siasa, dini, NK mbona watanzania wapole tu. Ila ukishupaa utaona moto Wa kiburi
Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu.
Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga...
KIBURI
Kiburi ni hali ya moyo wa mtu kuinuka,kujisifu,kujitukuza ,KUJIKWEZA kutokana na kitu fulani alichonacho/anachomiliki ambacho kinamtofautisha yeye na mwingine.
mfano 1.
KIPAWA/KARAMA/KIPAJI alichojaliwa yeye tofauti na wengine.
mfano hapo zamani LUSIFA alikuwa malaika mkuu Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.