Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa vijiji vya Ng'arwa,Mageri, Tinanga, Olorieni, Magaiduru,Mgongo,Yasi na Mdito.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa...