ujasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujasiri Binadamu kueleza wa Aibu za Wengine

    Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

    Vijana wameamua kuchagua vita yao
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtanganyika mwingine mwenye ujasiri?

    Kwa kweli kuamua kuacha mikate na siagi na kuamua kutoka kwenye himaya ni kitendo kitakatifu sana. Wote waliobaki nikiwaangalia wamebaki wapiga zumari na machawa ... Unapopewa nafasi na kisha nafasi hiyo umewekwa kama kivuli ni sawasawa na Zombi tu hakuna tofauti... Katiba ya Kambarage ndio...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siasa imeua ujasiri, wanataaluma wameuchimbia kaburi, tunasubiri wa kuuzika na kufukia

    Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Walioonesha ujasiri wa kuhoji Wameahidiwa kupandishwa Daraja, Walionyamaza Wakaachwa, Hii Ndiyo Haki?

    Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa. Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  10. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  11. John Sin

    JamiiForums Tanzania Huna huo ujasiri

    Wanaocheza efootball wanasifa hizi 1. Wanaishi kwenye nyumba za ukoo 2. Wanaishi kwa kutegemea boom 3. Wanaishi kwa hisani ya aviator 4. Wanaishi kwa shemeji zao 5. Hawana akiba hata ya afu 10 ndani, bank au kwenye simu 6. Kubet ndo chanzo kikuu cha mapato Katika hayo mambo 6 kila mchezo...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

    Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo "Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao, wapo katika nchi huru na ni haki yao kutoa maoni. Lakini duniani kote, haki huwa inapiganiwa. Kwa...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Trump ni watu wabinafsi sana. Hakuna wa kuwawajibisha?

    Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha. Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia...
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !

    Kuacha kazi kwa ajili ya ndoto zako ni ujasiri au ujinga !
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ghafla iran imeanza kuchangamka! Tazama waalivyoishambulia ndege ya kivita ya IAF kwa ujasiri

    min -me secretarybird naona mmeamka sasa😁
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Ujasiri: Maliyamungu wa Uganda, Ukimya wa watu wema huruhusu upumbavu kukua

    Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp. Soma hapo chini :- Wanasema hofu huwafanya hata...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

    Habari wanajf Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Lisu kiboka: sikiliza ujasiri wa kuongea na shahidi/ impeachment

    Mhe. Lissu: Wewe sio mtaalamu wa Chochote ndio maana ni Koplo wa polisi. Ungekuwa mtaalamu usingekuwa Koplo
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

    Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
Back
Top Bottom