jaji warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kuna ubaguzi wa kikabila, Utaifa na mpasuko wa kidini, Utanganyika, Uzanzibari

    Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema: "Mmeanza jitihada za ukabila, na sasa hivi tunazungumza hata mambo ya maadili. Tunasema machifu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Amani hailetwi na bunduki hata utumie risasi ngapi, sasa hivi tunafikiri amani tunaweza kuidumisha kwa kutumia polisi

    Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema: "Kurudi kwenye amani ya kweli, ni lazima turudi kwenye misingi ile ya zamani. Tuwe na usawa, tusiwe...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vyama vya siasa vimekuwa kama makabila, vimewagawa wananchi. Hatuwezi kuita mikutano bila sare

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kujadili hali ya demokrasia nchini, kufuatia matukio na hali ya kisiasa iliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake juu ya mwelekeo wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Chaguzi zetu zote zimekuwa za kibaguzi kwenye siasa toka zamani

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, amesema kuwa ubaguzi katika ulingo wa siasa na michakato ya uchaguzi umekuwa tatizo sugu ambalo limeendelea kuota mizizi kwa muda mrefu nchini Tanzania. Akizungumza leo Septema 7, 2026, katika mkutano uliotayarishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) la...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Nchimbi alikuwa anakijua chama cha CCM na changamoto zake, na sio muoga

    Akizungumza kuhusu ujio wa Emmanuel Nchimbi baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba amesema Nchimbi si mtu mgeni kwake na kwamba tayari alikuwa akimfahamu kutokana na kazi zake. “Nchimbi anakifahamu chama na amefanya kazi. Alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu, ndiyo...
  7. gstar

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Akubali kukwama katiba mpya kabla ya 2030, asema Nchimbi hakuwa na "uchawa"

    DAR ES SALAAM, TANZANIA— Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu uwezekano wa Tanzania kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2029/2030. Akizungumza katika mkutano uliowashirikisha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aeleza wasiwasi simu za Nchimbi kutopokelewa 'Sikuizi ukisema ukweli umeanzisha fitina'

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mazingira yaliyogubika kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ikiwemo kitendo cha simu zake kutopokelewa na kuwepo kwa taarifa za kupokonywa simu na kuwekwa chini ya ulinzi mkali. Akizungumza leo Agosti 28...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata katiba kufika mwaka 2029. Serikali inaona bado hakuna kikubwa

    Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029. Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Nashangaa kuona watu wanakamatwa na polisi, wanapelekwa mahakamani kwa shitaka ya ugaidi

    Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali. Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama: Jaji Warioba alieleza tuzungumze kabla uchaguzi akapuuzwa, nani anaweza kutoa maelezo kilichotokea Oktoba 29?

    Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 4, 2026 na Saut Digital, Dkt. Azaveli Lwaitama, amesema suala la maridhiano inahitaji msuluhishi kutoka nje kama Jumuiya ya Common Wealth na SADC ili watu waweze kuwa na imani na kinachofanyika. Aidha Dkt. Azaveli Lwaitama amegusia jitihada za...
  16. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa Mzee Jaji Warioba

    Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki. Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi | Jaji Warioba: Serikali ya Zanzibar iliondoa kienyeji baadhi ya mambo ya Muungano bila kufuata Katiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, alisema kuwa pendekezo la Tume lilikuwa kuunda muundo wa Muungano wenye uwiano zaidi kwa kuipa Tanganyika mamlaka yanayofanana na Zanzibar, huku Serikali ya Muungano ikibaki kushughulikia masuala ya pamoja kama...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Balozi Emmanuel Nchimbi amtembelea Jaji Joseph Warioba nyumbani kwake

    Nimefurahi kuona Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimtembelea na kumjulia hali, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam. MY TAKE; Ziara hii ina maana gani kwa Watanganyika? Mchakato wa Katiba unanukia?
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amepoteza hadhi ya Ujaji avuliwe ujaji, asiendelee kuitwa Jaji ili kulinda hadhi ya Ujaji ambayo inaambatana na uzalendo

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji, kauli zake zimekosa vinasaba vya kizalendo, kauli zake zimekosa ulezi wa Taifa letu kama Mzee. Hii...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukweli Mchungu wa 'Nongwa' Zake

    WARIOBA NI MTU WA HOVYO SANA... Kuna muda tunajizuia sana kuongea juu ya huyu mzee lakini tunashindwa kabisa kwa kuwa ana mambo ya hovyo sana na amezanza huu uhovyo muda mrefu sana.. Jose yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni makosa na lazima awe na mawazo tofauti na kukosoa na...
Back
Top Bottom