uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO

    1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji. 4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
  2. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Viwanja 14 vinauzwa Msalato karibu na Uwanja wa Ndege Mpya Dodoma

    Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya. Ukivichukua vyote...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA HII NI HABARI NYINGINE

    Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67. : 𝐌𝐑𝐀𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐊𝐀𝐊𝐀𝐓𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐉𝐈𝐏𝐘𝐀 𝐋𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

    Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳. Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai. Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na...
  6. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ndege za ATCL zarudishwa uwanja wa ndege Chato, harusi ya tajiri wa Katoro yatajwa

    Kampuni ya ndege ya Tanzania Atcl imeanza tena ruti ya ndege Dar-Chato-Mwanza baada ya kusitishwa kwa muda mrefu baada ya kifo cha Rais Magufuli na ikasemekana kuwa uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuanika dagaa na mpunga!. Kufungwa kwa uwanja huo ilikuwa ni moja ya project za kuangusha na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Serengeti ni sawa na Mfanyabiashara kushindwa kusoma alama za Nyakati (Business always its Uncertainty)

    Biashara siku zote ina ushindani Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako.. Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto 2025-2030.. as the Country revenue strategy.. sasa Mbunge wa Chama Tawala unapingana na Ilani yako ya Chama...
  8. n00b

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chivayo aiweka Kenya mfukoni? Kampuni yake yapewa dili la Dola Bilioni 2.9 kuboresha Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)

    Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia: Timu ya Senegal wakaguliwa kwa umakini mkubwa uwanja wa Ndege nchini Marekani

    Watu tofauti wamelalamikia video za mapokezi ya timu ya taifa ya Senegal walipofika kwenye kiwanja cha ndege nchini Marekani, inasemekana walipekuliwa na kuhojiwa kupita kiasi, nahodha wa timu yao alihojiwa kwa saa 3 kabla timu kuruhusiwa kuingia nchini humo. Ikiwa zimesalia Siku 2 kabla ya...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wakenya wakipokea wagonjwa wa ebola kutokea Marekani katika uwanja wa ndege wa Jomo kenyata

    Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mtandao wa Instagram likidai kuwaonyesha baadhi ya raia wa Kenya wakiwapokea wageni wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa wa Ebola. Katika chapisho hilo imeomekana kuwa na jumbe ufuatao” Marekani itaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti

    Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za tope Ikumbukwe kwa musoma kuna ujenzi unaendelea wa kiwanja cha ndege na hapohapo mnataka tena...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Uwanja wa Ndege Tabora

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Tabora, hatua inayolenga kuboresha usafiri wa anga, kuchochea biashara, utalii na kufungua fursa zaidi za...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Uwanja wa Ndege Musoma kuchochea Utalii

    Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa jirani. Maboresho hayo yanatarajiwa kurahisisha usafiri wa anga kwa watalii wanaotembelea vivutio...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uwanja wa ndege wa Iran baada ya kushambuliwa, April 02, 2026

    Wakuu hii taarifa ina ukweli kiasi gani?
  16. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait.

    TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya El Mencho kuuawa Mexico, Uwanja wa Ndege wa Guadalajara wafungwa ghafla kutokana na tishio la kiusalama

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Guadalajara International Airport nchini Mexico umefungwa ghafla kufuatia taarifa zisizothibitishwa kuhusu kifo cha Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama El Mencho. El Mencho anatajwa kuwa kiongozi wa Jalisco New Generation Cartel, moja ya makundi yenye...
  20. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania DRC: Sehemu ya uwanja wa ndege wa Kisangani walipuliwa na droni za AFC/M23

    Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto. Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
Back
Top Bottom