Mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi, huu ni ukweli mchungu

kocha Nabi

JF-Expert Member
Feb 1, 2022
590
1,466
baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali.

ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa mawaziri nahisi waziri Gwajima ndiye atakayebaki maana sioni kama wengi wanamcoment vibaya.

keq utafit mfupi inaonekana baadhi ya mawaziri hawapendwi kwa utendaji kazi wao, wengine kwa ubabe wao ilihali kazi inafanyika, wengine kwa kujiingiza katika makundi yasiyopendwa na wengi, wengine kwa kusahau ubunge wao ilihali kazi za uwaziri zinafanyika na kujikuta wananchi wanauchukia uwaziri wake kisa tu haonekani jimboni.

viongizi wahusika waangalie namna ya kudeal na hawa mawaziri kwani ndio jicho la serikali, mapenzi ya wananchi kwa viongozi wajuu yapo kwenye utendaji kazi wa mawaziri.
 
Hivi wategemea mtu amuelewe yule macho makubwa aliyesema tuwe walezando?
 
Hivi wategemea mtu amuelewe yule macho makubwa aliyesema tuwe walezando?
mzee wa passport anashupaza shingo ila hataki kuonekana amefail.
kama uzalendo angetoa wazo pa serikali kulipa nusu ya viingilio ili watu wajaze uwanja. maana tunajanga hili, na sifa ya kulipiwa kiingilio nusu uwe na jersey ya timu husika inayocheza, hapo watu wangemkubali.
 
Back
Top Bottom