kukosolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  2. R

    Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii. https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn- Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
  3. M

    Naomba kushauriwa, kukosolewa, na kuelekezwa

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi Fulani inayoshughulikia masuala ya Sheria, ninafamilia na ninazaidi ya miaka Zaidi ya Kumi kazini. Kielimu Mimi ni wamadarasa 11, haina yangu Ni mpole na mwenye huruma sana na nisiyependa utani kwa kuwa huwa mwepesi kukwazika. Katika maisha yangu ya Kazini...
  4. Mr Why

    Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki. Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
  5. B

    Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

    Safari ya kuelekea kwenye ukombozi ni ndefu na isiyopungukiwa machungu: Safari hiyo haiwezi kuwa siku zote ndani tu, ya yale ambayo tungependa kuyasikia. Ni lazima kuwa tayari kusikia habari mbaya. Tena hata zile zinazotuhusu sana. Ni lazima tukubali kukosolewa. Ni lazima tukubali kujikosoa...
  6. Nelson Jacob Kagame

    Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  7. B

    Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦U 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗢𝗟𝗘𝗪A CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  8. BLACK MOVEMENT

    Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

    Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
  9. sky soldier

    Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  10. NAMDORY

    Hivi humu ndani bado kuna wanaopinga kukosolewa kwa Serikali ya Awamu ya Tano?

    Jamani hakuna asiyejua kuwa Awami yatano ijapo na iliyoyafanya mazuri kwa wananchi, yote mazuri yanafutwa kwa mabaya waliyooyafanya kwa hao hao wananchi. Tulipoteza ndugu zetu, tulipoteza mali zetu, tulipoteza Uhuru wa kuongea. Pia tulipoteza uhaki wa uraia wetu, baada ya kuminywa demokrasia...
  11. N

    RAIS SAMIA ARUHUSU KUKOSOLEWA

    Rais Samia Suluhu katika hotuba yake jana ameruhusu serikali yake kukosolewa lakini kuna watu wasio waelewa wataanza kutukana na sio kukosea Rais amesema kosoa kwa adabu na sio kutukana Nanukuu "CCM tunaamini kukosolewa na kukosoa. Kazi ya serikali itakuwa ni kutekeleza. Ndio maana mimi...
  12. R

    Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
  13. Z

    Umaskini wa nchi za Afrika ni matokeao ya kukataa kukosolewa. Unapokosolewa ni afya kwa nchi yako. Kubali kukosolewa, badilika au achia ngazi

    Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  14. RWANDES

    Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi. --- Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru...
  15. Suley2019

    Maxence Melo: TCRA sikilizeni pande zote kabla ya maamuzi. Sheria na Sera za Nchi zilenge kuchochea Uchumi wa Kidigitali

    Baadhi ya masuala aliyoongelea Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo, katika warsha ya kukuza maudhui ya ndani yaliyofanyika TCRA. Kukosoana si kubaya Ukosoaji uwe wa pande mbili, kama kamati inavyokosoa watengeneza maudhui na wao pia wakubali kukosolewa, lakini kukosolewa huku kuwe...
  16. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
  17. Zanzibar-ASP

    Hayati Magufuli alikataa kukosolewa akiwa hai, sasa watu wanamkosoa akiwa amekufa

    Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai. Hichi kinachoendelea ni matunda ya tabia ya Magufuli mwenyewe ya kupenda kusifiwa tu huku akiwadhihaki watangulizi wake...
  18. Mwande na Mndewa

    MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!?

    MWALIMU NYERERE ALITAKA CCM IKOSOLEWE,KWA NINI MZEE BULEMBO ANAPINGA CCM KUKOSOLEWA!? Nimemtaja makusudi mwanzilishi wa CCM,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuvunjilia mbali hizi propoganda zinazotaka kuenezwa kwamba hutakiwi kukosoa chama iwe CCM,CHADEMA,CUF au ACT WAZALENDO. Na ukumbuke...
  19. Nyendo

    Viongozi, Kukosolewa si kukosewa heshima

    Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au inayoumiza wananchi. Kiongozi anayefuata dhana ya utawala bora hataona kero au kakosewa heshima kwa...
Back
Top Bottom