Au atakua anajutia kilichomfikisha hapo alipo sasa, na kujutia kushindwa kutimiza ndoto zake za kisiasa kidemokrasia lakini pia kimapinduzi?
Au anaweza kua amekata tamaa kabisa ya maisha na anajiskia changanyikiwa?
Najaribu kuwaza kisiasa tu, na ninatamani kuona maoni yako kwenye hili...
Je,
ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi?
Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
bado
edward
hayati
hukumu
kabla
kisiasa
kiuchumi
korokoroni
kuomba
lowasa
mpinzani
mtuhumiwa
muda
nguvu
ni kwanini
siku
tanzania
tena
uhaini
ulimwenguni
ushawishi
wana
watuhumiwa
watuhumiwa wa uhaini
zao
Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi.
Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
Hii kesi ya uhaini ya Lissu, imeniacha na maswali mengi lakini pia imenishangaza kwa mengi. Mojawapo ni sheria kutoa mwanya kuwa kuitisha serikali ni uhaini. Yaani kuitisha serikali ni ingredients kwenye kosa la uhaini.
Sasa najiuliza: Kutangaza mgomo kama walivyofanya madaktari sio kuitisha...
..Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza...
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu.
Kwa mfano, wanataka wampe...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundu
tundu lissu
uhainiuhaini wa lissu
waiomba
yakubali
Msimamo huo nimekuwa nikiupigania katika siku zote za maisha yangu.
Na kama ikibidi kufa kwa msimamo huo, nipo tayari kufa kwa ajili yake.
Mwisho namalizia, Waheshimiwa Majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo.
Halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha kosa la uhaini, unathibitisha kosa dogo...
Wakili Peter Madeleka ameitaka mamlaka za ulinzi na usalama kumchukulia hatua Chacha kufuatia kauli anazodaiwa kutoa kuhusu umiliki wa vyombo vya ulinzi na usalama. Madeleka amedai kuwa kauli hiyo inaweza kuhusishwa na uhaini, akirejea Ibara ya 147(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea.
Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani
Kaa tayari kwa updates
=====
Leo September 28, 2026
Last time tuliishia 467
Sehemu ya...
Leo Septemba 25, 2026, Tundu Lissu ameendelea kutoa majumuisho ya mwisho Mahakamani kufuatia Kesi ya Uhaini inayomkabili.
Katika wasilisho lake la leo, Tundu Lissu amesema kwa mujibu wa Sheria yetu iliyoundwa kutoka kwa Sheria ya Uingereza hakuna Uhaini wa maneno kama yeye anavyotuhumiwa kwa...
Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani.
Kaa tayari kwa Updates
-------------
MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO.
SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026.
Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius.
Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani.
Sheria isomeke...
Nchi yangu nini hiki, aliyesema tutakunukisha ni muhaini, ila wanaoiba mali za umma kila uchwao waone aibu.
Hawa wezi wa mali za umma ndio wahaini sasa, ukiachana na baadhi ya maeneo mijini, zunguka vijijini uone hali ilivyo, ulinganishe na rasilimali za nchi hii. Ni huzuni.
Kama jiji la Dar...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezaji
uwekezaji tanzania
wote
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka...
Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.