tuanze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huwa tunasubiri catastrophe ndo tuanze kuishi?

    Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa... Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

    Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu; Mashihidi upande wa mshitakiwa tuanze na Samia

    Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hakuna maridhiano(USANII) hapa; acheni tu nchi izikwe rasmi tuanze upya.

    Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai. Mnafiki yeyote...
  6. Street brain

    JamiiForums Tanzania Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tuanze tabia ya kusave kipato chetu hata kwa kiasi kidogo tu,kumbuka ndondondo si chururu

    Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku. Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba hata kwa kiasi kidogo sana cha buku mbili tu kwa mwezi ( 2,000/=) Tukiwa na tabia ya kuweka akiba...
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama MwanaCHADEMA Kanda ya Pwani. Nitapiga kampeni Halima Mdee arejeshwe. Tuanze na Kura humu mtandaoni

    Hehee! Kumekucha na Makucha yake. Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake. Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tuanze na wabunge!

    Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao! Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo majimboni kwanini tusianzishe mchakato majimboni kwa namna yoyote ile ili mradi tu na wao waipate...
  12. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari, kabla ya Mange Kimambi, tuanze na ya Mdude&Polepole

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi. Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao. Hapo kweli ndo...
  14. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Bongo Gen Z, kwa kuonesha hasira zetu, tuanze kwa ku-unfollow wafuatao

    Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi Milard Ayo Diamond Platnumz Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na tujiondoe kwenye accont zao za youtube. Haiwezekani tunasema tunamachungu na hasira halafu bado...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuanze mtindo wa Colombia. Tupambane na wanaolinda serikali ya wezi

    Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia. Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
  16. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Hekaheka na Usanii vimeisha Sasa tuanze reform

    Mipira imeisha Pesa za Abdul zimeisha Chauma imedoda ACT imedoda Tumezunguka uwanja wee Sasa tumerudi kwenye original starting point ya Chadema. Ni Kama tulipoteza muda wetu bure na makusudi Usanii wote na mamipila yenu kuwapumbaza Watanzania yameisha Sasa. Tunahitaji reform sasa buddy...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
Back
Top Bottom