lami

 1. Sky Eclat

  Usafi ulioletwa na Covid-19 huku kwetu Kwamtogole ni wa kiwango cha lami

  Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags. Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti...
 2. Kajiru Kanyika

  Finally kule kijijini kwetu Upareni lami imepita, ilikuwa kama ndoto vile

  Ni furaha iliyoje kwamba kule milimani upareni nako kuna lami, thanks God.
 3. FRANCIS DA DON

  Kipande cha barabara cha mita 200 Tabata Kimanga chatumia miaka 10 kuwekwa lami

  Tangu mwaka 2009 mkandarasi yupo site na anafanya kazi usiku na mchana, anafunga barabara na kupitisha magari kwenye diversion. Kila siku vijiko na magreda naviona vinafanya kazi pale, vifusi na kokoto vinamwagwa kila kukicha, ila kipande hicho cha mita 200 huko Tabata Kimanga hakijafanikiwa...
 4. babalao 2

  Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
 5. kanyagio

  Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

  Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
Top Bottom