mwaliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna dada katumiwa kadi ya mwaliko wa harusi na mwanaume aliekuwa na malengo nae/future almanusra ajitie kitanzi

    Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine. dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
  2. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili Wanafosi mwaliko kwanini

    Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
  3. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar es Salaam, vipi mmepata huu mwaliko?

    Ccm wanaendelea kufurahia Mema ya nchi huku shuleni kukiwa hakuna walimu na wanafunzi wanakaa chini bila ya madawati🤔🤔🤔
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  6. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

    Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari.. Location Gongo la mboto... Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu.. Nakuja na vitendea kazi vyangu Kama Kijiko Ndizi Kachumbari Maji na soda... Ahsante sana Update:: 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Sema mood jau sana mi title sijaweka...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Wabangaizaji wezengu naomba mwaliko wa sikuku!!

    Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake . Mada hapo juu yahusika . Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili. Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale...
  8. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀 Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
  9. tamsana

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

    Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20. Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk. Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
  10. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je, mwaliko wa Tanzania katika mkutano wa G20 unatoa nafasi halisi ya kuboresha ushirikiano wa kimataifa kwa bara la Afrika?

    Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

    Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee! Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.? Aisee umenifunza kitu.
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  13. EricMan

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak to all Muslims

    Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Naombeni mwaliko wa kesho

    Naombeni mwaliko kwenye sherehee ya IDDI . Unique Flower .
  15. W

    JamiiForums Tanzania P Diddy Anyang'anywa Mwaliko wa MET GALA 2024

    Rapa Na Mfanyabiashara kutoka Marekani Sean “Diddy” Anadaiwa kuwa hatopokea Mualiko Wa kuhudhuria katika Onesho Kubwa La Mavazi Na Mitindo linalofahamika Kama "Met Gala" Taarifa hizi ni baada ya rapa huyo kuwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono na tuhuma uuzaji wa madawa ya kulevya dhidi yake...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Mwaliko uliombwa na Hayati Rais John Magufuli ulikubaliwa mwaka 2019 wakati wa COVID 19 ikashindikana Papa kuja Tanzania wala Rais Magufuli kwenda Vatican. Nani aende Vatican baada ya kuondoka kwa Rais Magufuli!? jibu ni Mama. Je, atakwenda kujifunza injili ya Bwana wetu Yesu Kristo!? Je...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam. Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  19. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

    Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa. Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari. Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AKILI ZA MTU MWEUSI: Kuchangishana sherehe (kadi za mwaliko na magroup )

    Hizi ni nyuzi special kuelezea akili za mtu mweusi, naanzia hapa. Akili za mtu mweusi season1. ep 01 :  Kuchangishana pesa kwenye raha binafsi za watu( hizi wanaita sherehe za harusi, ubatizo, birthday n.k ) * Kuna huu ujinga unaoendelea kwenye jamii zetu wa kuchangishana kwenye furaha binafsi...
Back
Top Bottom