ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jooohs

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi...
  2. M

    Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

    Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
  3. M

    Ukweli Mchungu kwenye mahusiano mengi

    Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa. "Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe". NB: WANAUME TUWE MAKINI AISEE!
  4. kocha Nabi

    Mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi, huu ni ukweli mchungu

    baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali. ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa mawaziri nahisi waziri Gwajima ndiye atakayebaki maana sioni kama wengi wanamcoment vibaya. keq utafit...
  5. LIKUD

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  6. tpaul

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo. Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
  7. Mundele Makusu

    Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  8. BARD AI

    Ukweli Mchungu kuhusu wanawake wanaouza ‘Busta’ barabarani

    Katikatika ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, wanaonekana wanawake wenye mabeseni vichwani wakizunguka huku na huko. Hawa ni wajasiriamali, wachuuzi wa mihogo mibichi, karanga, tende, mchele na nazi maarufu busta. Wachuuzi hawa wanatumia msongamano kwenye makutano ya barabara kuuza...
  9. M

    Ukweli Mchungu kuhusu Ajira nchini

    Kwa wale vijana wanaopambana kutafuta ajira Serikalini na Sector binafsi kuna la kujifunza hapa.
  10. S

    Ukweli mchungu: Kombe la Mapinduzi ni mashindano ya kutoa fursa kwa wachezaji wanaochipukia

    Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
  11. sky soldier

    Ukweli mchungu: Watanzania wengi wanaoishi / kusoma ulaya na Marekani hawapeani kampani, Wakenya ndio kimbilio la watanzania wengi ughaibuni

    Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga...
  12. kiwatengu

    Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  13. Damaso

    Ukweli mchungu kuhusu Maisha ya Mwanadamu

    Maisha wakati mwingine huonekana kutokuwa na maana, lakini ni mwalimu bora kwa mwanadamu uwe jeuri na mkaidi ila Maisha ndo yatakufunza vyema. Kila uzoefu na hali mbaya tunayokabiliana nayo ukitazama ndani yake basi kuna somo kubwa ndani limejificha kwake, ajabu ni kwamba wachache sana wanaweza...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

    Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale. Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe. Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli. Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha...
  15. Mkwawe

    UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  16. Nyankurungu2020

    Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  17. LIKUD

    Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
  18. Fundi kipara

    UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

    Ukweli mchungu. Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana. Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni...
  19. matunduizi

    Ukweli mchungu: Adui wa taifa sio Ujinga, umasikini na maradhi, bali ni ni lishe

    Aliyebuni kula liugali kubwa na kamboga kadoko au wali lumbesa na tumaharage kidogo ndio katufikisha hapa. Tunakula ili tujaze tumbo sio kushibisha seli hai kwa virutubisho jengefu. Watu wengi tunashiba tumboni lakini seli za ubongo na za maamuzi ya msingi zinalala njaa kila siku. Matokeo yake...
Back
Top Bottom