Leo kinafanyika kikao cha baraza la Mawaziri; unadhani wakuu wa taasisi watabaki salama au kuna pangua pangua inakuja?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,102
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
 
Tuanzie barazani kwenyewe. Huko kuna Waziri wa Utani na vichekesho. Hii wizara haipo nchini atenguliwe mara moja.
 
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Hakuna jipya. Nakushauri uache kufuatilia ujinga wa mafisi CCM kama huu kwa sababu hata wakipanguana namna gani hakuna mabadiliko kwenye utendaji.
 
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
CCM WOTE HAWAFAI KUONGOZA TAIFA HILI
 
Kuna tetesi kuwa mama kaupitia uzi wangu wa jana kimya kimya
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Screenshot_20240324-175134.png
 
This time Pascal Mayalla anahula.

Believe me!
Mzee Mayalla ajichunguze, katika chovya chovya zake za ujanani itakuwa kuna sehemu alichomeka yenye gundu kubwa mno kupelekea kutembea na hilo gundu mpaka uzeeni.

Haiwezekani mtu kasifia mpaka visivyosifika ola, kakakindia mpaka basi bado kimya.

Kwa sasa asubiri kuteuliwa kuzimu huko. Labda akifa atakuwa mzimu wa familia awe anatisha watoto watukutu.
 
Vikao viwili vya baraza la mawaziri vilivyotangulia vilimalizika na pangua pangua kwenye wizara, mikoa na wilaya.

Leo tena ikiwa mwenzi aujaisha wamekutana tena katika kikao kazi, je nani unadhani atakuwa amemzingua mama?

DAS aliyetuhumiwa kwa mafuta atapona? Waziri aliyefanya utani atapona? Wakuu wa vyombo vya ulinzi watapona baada ya kauli ya CDF?

Kuna kelele za wafanyakazi wa bandari, kuna Mwendokasi na kukatika kwa maji.....je wenye dhamana watabaki salama?

Kila la kheri Baraza la Mawaziri
Ndumbaro hachomoi
 
Hata wafanye vikao 1000 bado hali tete kwao ufisadi mkubwa wa kutisha mpka 2025 watakua wamemeza moto
 
anatolewa huku ana pelekwa kule wa kule ana letwa huku hakuna jipya wala majina mapya wamemzidi mother akili
 
Back
Top Bottom