jaji

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Tume ya Jaji Kisanga na Tuke ya Jaji Warioba

    Tume ya Jaji Kisanga(white paper) ilituvusha bila taharuki lakini tume ya Jaji warioba ilituletea chaos Ukiniambia ni ipi ilikuwa tume bora nitakwambia ni ile iliyotuachia amani yetu Tanzania.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu akihukumiwa atakata rufaa na endapo kesi ikienda kwa jaji Mruma ataitupilia mbali

    Mashabiki wa Lissu pungueani midomo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Uwezo Mkubwa Wa Akili na Ujuvi Wa Sheria Aliouonyesha Wakili Katuga . Napendekeza Afikiriwe Kupandishwa Cheo Zaidi na Kuteuliwa Kuwa Jaji

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba . Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki anayekaangwa kwenye Mafuta ya Moto . Yaani hadi Heche Akaishiwa Nguvu za Kusimama na kuamua kukaa chini...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Mawakili ni Maofisa wa Mahakama?, Onyo la CJ Kuwa Mahakama Sio Sehemu ya Uanaharakati, Linawahusu!. Tujikite Kwenye Interest of Justice!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba atastaafu lini?

    Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Chaguzi zetu zote zimekuwa za kibaguzi kwenye siasa toka zamani

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, amesema kuwa ubaguzi katika ulingo wa siasa na michakato ya uchaguzi umekuwa tatizo sugu ambalo limeendelea kuota mizizi kwa muda mrefu nchini Tanzania. Akizungumza leo Septema 7, 2026, katika mkutano uliotayarishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) la...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ishu ni vurungu za Oktoba 29, tume ya Jaji Chande ilisha msafisha Lissu. Wahusika wakuu ni CCM waliokatwa na waliopinga Samia kugombea.

    Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM mtandao. Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta. Soma pia: Tume...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane hadidu rejea za tume ya Jaji Lila.

    Nimekaa nikawaza hapa tu lengo la kumvua uanachama Nchimbi ni lipi? Nikiwa sijapata jibu la swali hilo mara gafla akili ikaniambia rejelea Hadidu rejea za Tume ya Jaji Lila, wakuu moja ya hadidu rejea ya Msingi na ya kwanza kabisa iliyopewa Tume ya Jaji Lila..Ni kina nani wahusika au...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume hiyo imeanza kazi ikiwa na hadidu tano za rejea zitakazoongoza uchunguzi wake na kubainisha upana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Jaji atengua sera ya Trump ya kuzuia visa nchi 75 ikiwemo Tanzania

    Jaji Jeannette Vargas wa Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York ametengua sera ya utawala wa Trump iliyosimamisha utoaji wa visa za wahamiaji kwa nchi 75, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Jeannette amesema sera hiyo ilikuwa “kinyume cha sheria waziwazi” na kwamba ilivuka mamlaka ya Waziri wa Mambo...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

    Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
Back
Top Bottom