waache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BUSH BIN LADEN

    BASATA Na TCRA waache Double Standards

    Je, sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(TBC Fm ya zamani). Naomba tujadili.
  2. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  3. kalisheshe

    Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
  4. GENTAMYCINE

    Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

    Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
  5. matunduizi

    Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  6. DR Mambo Jambo

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
  7. Smt016

    Yanga mwendo umeumaliza ila tuwafundishe wapambanaji wetu waache mentality ya unyonge

    Awali ya yote natoa pongezi zangu kwa uongozi wa Yanga, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki kwa kuendeleza ushirikiano kwa kuhahakikisha timu ya Yanga inafanya vizuri. Kwenye mechi za robo fainali Gamondi kaonesha kuwa mpira ni mbinu na ufundi haijalishi umewakosa wakina nani. Naomba...
  8. Webabu

    Katibu Mkuu UN awaambia EU waache undumilakuwili. Wanavyoiona Ukraine iwe hivyo hivyo kwa Gaza

    Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza. ========== BRUSSELS (AP) — European Union...
  9. Elli

    Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  10. vvvv

    Simba na (Ahmed Ally) waache propaganda waandae timu

    Hii timu yangu natamani waache propaganda ingewezekana waachane na media wajifiche sehemu wajinoe haswa, Hizi propaganda za Ahmed Ally ipo siku atakuja kupigwa mawe, jamaa akiongelea kuhusu Simba utadhani ni Real Madrid au Man City, watu tunaaminishwa uwezo ambao wachezaji hawana na tunapata...
  11. U

    Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  12. THE BIG SHOW

    Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

    Friends and Our Enemies, Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa. Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki...
  13. Replica

    Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa. Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
  14. MK254

    Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

    Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi. Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa...
  15. D

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  16. galimoshi

    Mwalunenge awapa ukweli Vijana wa UVCCM, awambia waache kuharakia maisha

    Na Mwandishi wetu Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni kujipotezea mwelekeo. Akizungumza na Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mbeya Mjini...
  17. Webabu

    Oman yajiweka kimbelembele kutaka Houth waache kushambulia meli zipitazo bahari nyekundu

    Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb. Mohamed Abdel-Salam hakutaja huo upande wa pili katika mazungumzo hayo lakini akasisitiza kuwa msimamo wa...
  18. sky soldier

    Utamaduni wa wamarekani weusi huchangia kuwa nyuma zaidi kimaendeleo, Vitu kama muziki wao wa hiphop sio wa kuendelea kuusikiliza unasambaza sumu

    Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma, Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu. Shule zipo...
  19. Malaika wa Misukosuko

    Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  20. BICHWA KOMWE -

    Wanafunzi wote waache shule na vyuo: Ushauri wa tahadhari

    Hii ni tahadhari nawapa, kwa wazazi na wanafunzi kwa ujumla. Ewe mzazi, usipoteze mamilioni kusomesha mtoto wako kwa uchungu na kwa jasho halafu akarudi nyumbani kukaanga chips na kuendesha bajaji. Ewe mzazi, usiuze ng'ombe zako, usiuze ardhi yako, usifilisi biashara zako kwa ajili ya kupeleka...
Back
Top Bottom