madogo

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. V

  Mabantu nyie madogo sio poa

  Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka. Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.
 2. profesawaaganojipya

  Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

  Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili. Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
 3. GENTAMYCINE

  Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

  Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
 4. BARD AI

  IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

  Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
 5. sky soldier

  Baadhi ya maumbile madogo ni wanaume ndio huyasababisha, kama upo makundi haya dawa ipo lakini uvumilivu wako ndio tiba.

  Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe. 2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa...
 6. K

  Malipo ya 500/= getini stendi ya Magufuli magari madogo yanayotoka na abiria;

  Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi. Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
 7. J

  Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

  Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
 8. Pascal Mayalla

  Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.

  Wanabodi, Huu ni wito kwa Watanzania tujifunze kuwa ni watu wa shukrani, tuwe na shukrani kwa kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Je tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Japo tulitaka kikubwa, Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, tumepewa kiduchu tuu!, je tukipokee...
 9. Robert Heriel Mtibeli

  Madogo mnatudharua Mabroo zenu kisa tumeshindwa karibu Kila kitu

  Mpo Pouwa. Haya bhana! Yote Kheri. Mungu ndio anajua. Dharau mlizonionyeshea hakika kama kungekuwa na uchawi ningewaloga wote Mbuzi nyie, watoto niliowaona mkizaliwa, tukawakuza wenyewe, leo ninyi ndio wakuturushia mavi usoni? Kweli! kweli? Kisa mmeshaanza kuzivua Sketi za Wadada sio? Au nini...
 10. Miss Zomboko

  Maendeleo madogo katika kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza yamefutwa na baadhi ya Sheria kandamizi

  Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria. ============================...
 11. T

  Kama Taifa tumeshindwa kweli kutoka hapa tulipo hata kwa mambo madogo?

  Wakuu habari za wakati huu, Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani? Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
 12. JanguKamaJangu

  Madaktari Wazawa waendelea kupandikiza figo Hospitali ya Muhimbili, njia ya matundu madogo kutumika

  Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo. Akizungumza na...
 13. T

  Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

  Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu. Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine. Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa. Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
 14. Ngongo

  Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

  Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa. Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
 15. Mcqueenen

  Hawa madogo wa country boy (Fresh boys) Wana kuja kuja

  Kuna Hawa madogo wa country wizzy wanajiita fresh boys Wapeni sikio mtoe marks Wanakuja kuja
 16. benzemah

  Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
 17. Wadiz

  Kwa nini karatasi zenye taarifa za Onyo kwenye Bidhaa hasa za Madawa huwa na Maandishi madogo sana?

  Hello hello, Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja? Nawasilisha. Shukrani kwa mwitikio wako. Wadiz.
 18. JituMirabaMinne

  Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

  Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
 19. Black fighter

  Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

  Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
 20. benzemah

  Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

  Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
Back
Top Bottom