tujifunze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tujifunze biashara ya msosi ni kama ubunifu wa test

    Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia. Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii coca cola. Uwezi kwenda sehemu moja kila mtu wanapika kina fanana kama hupo gerezani. Yani leo...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tujifunze jambo hapa kutoka kwa R. Kelly na P. Diddy

    Kuna muda Watu hujiuliza swali hili mara nyingi sana lakini wasipate majibu. Unamwona mtu kama R. Kelly, mwenye kipaji kikubwa, utajiri na umaarufu. Ni aina ya mtu ambaye angeweza kuingia katika chumba chochote duniani na kutoka akiwa ameambatana na mwanamke yeyote ambaye angemtamani. Lakini...
  3. Kaudunde Kautwange

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze: VICOBA na changamoto ya utunzaji wa Kumbukumbu

    Wana Jukwaa Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank. Nakumbuka miaka mitatu (3)...
  4. Life2

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu ametaka tujifunze kupitia kifo cha Temba

    Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo. Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani. Lakini kupitia kifo cha Temba...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Muda wa Story: Tujifunze na kuburudika na Story ya kufurahisha ya Baraka

    Usiku ulikuwa mzito kuliko kawaida. Mvua ilinyesha polepole kana kwamba anga linafikiria kabla ya kuangusha kila tone. Kijana mmoja aitwaye Baraka alisimama dirishani akitazama taa za mbali za jiji zikicheza ndani ya maji yaliyokuwa yakitiririka kwenye vioo. Hakujua ni nini hasa kilikuwa...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kutoka kwa huyu mwenzetu

    https://vt.tiktok.com/ZSH7Bamqd/
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa wairan

    Tujifunze kwa wairan kama taifa.
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa. Alivyokata...
  9. jooohs

    JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuwa waaminifu. Angalia jinsi Dola 100 ilivyotaka kunitoa roho

    Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Mrusi: Hizi ni njia mbalimbali za kujua kama kuna Camera za siri Sehemu ulipo

    Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao. Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  12. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Kutoka Libya

    My people, 15 - February -2011 Benghazi, Libya Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kusameheana ili taifa lisonge mbele

    Kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni wazi kuwa Taifa letu limepitia kipindi kigumu kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Machafuko yaliyotokea yameacha majeraha ya kiroho, kihisia, na hata kimwili kwa watanzania wengi. Ni kweli — kuna waliopoteza ndugu, marafiki, au watu wa karibu. Wapo...
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutunza kumbukumbu za members wote wanaosapoti mauaji ya halaiki.

    Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani. Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia. Wao naona familia zao na...
  15. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  16. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze Kichina (Chinese to Swahili, Chinese to English, English to Chinese, Swahili to Chinese)

    Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin). Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi mwisho. Tutapitia mambo yafuatayo: 1. Utangulizi wa Lugha ya Kichina: alfabeti ya Kichina (Pinyin)...
  17. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aliwahi kuonesha resprocal obligation Tujifunze kwake lakini pia asipoteze karama hiyo

    Resprocal obligation ! Kwa kiswahili rahisi sana hili ni jukumu "nenda rudi" Dr Wilbrod Slaa aliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki na baadaye akaomba kuondoka kwenye upadre kwa mujibu wa taratibu za Kanisa na baadaye akaruhusiwa "kuacha" upadre japo ukishakuwa padre kamwe haiwezekani kuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
  20. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

    Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita...
Back
Top Bottom