stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania KERO Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi

    Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba Mkuu wa Mkoa au yule aliyeweka lile jambo, enda katembelee ile sehemu. Je, yastahili kuwapeleka watu...
  3. cEHO

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna upigaji katika choo cha stendi kuu mbezi.

    Unapofika Stendi ya Mbezi na kuhitaji huduma ya choo kwenye ghorofa ya kwanza, unatozwa Sh300 bila kupewa risiti. Hata hivyo, ukienda ghorofani kwenye waiting lounge, unatozwa Sh200 na unapewa risiti. Hali hii inazua maswali kuhusu uhalali wa tozo ya Sh300 na matumizi ya mapato hayo. Ikiwa tozo...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wezi, Matapeli na Vishoka Stendi Mbezi Loius Wachekelea

    Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi: MADALALI: Ukishuka tu stendi pale , una mizigo, walet mfukoni na mabegi unavamiwa na vijana , MMOJA ANA TIKETI...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, RC Chalamila kupitia zogo hil la stendi ni mzani wake wa mwisho kwamba huyu hatoshi kuwa RC DAR (Tumbua mama)

    Naomba kufikisha salaam kwa Rais Samia kuhusu Sakata la stendi ya magufuli! Wamiliki wa mabasi wametumia kila njia kuomba kuonana na mkuu wa mkoa ili yafanyike mazungumzo kabla ya zoezi lakini ilishindikana. Wananchi pamoja na wamiliki wa mabasi tumetoa maoni kupitia vyomba vya habari lakini...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabasi yote yaende Stendi ya Magufuli, kama huwezi ondoka Dar Es Salaam hupawezi

    Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji. Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chalamila usijione una akili kushangiliwa na vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli

    Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi Magufuli ambao sio walengwa wa usafirishaji. Kama Chalamila anafikiri ana akili sana aende Ubungo...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu na Vituo vya Makontena (ICD) vya Kimkakati kama Suluhisho la Kudumu la Msongamano Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi. Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katika mkakati wa PPP ya Kafulila serikali isijenge stendi na masoko.

    Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko. Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi; Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand, Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje mtu mwenye tiketi analazimishwa kulipia ushuru wa kuingia katika Stendi ya mabasi 88 Dodoma?

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani. Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

    Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8 Mbezi Ubungo Chanika Mbagala Kigamboni Kigamboni Tegeta bunju Kinondoni Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
  19. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
Back
Top Bottom