stendi ya magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la RC Chalamila kuhusu mabasi na stendi ya Magufuli laibua video za Shabiby, mdau ashauri kitu

    Tangu Jumatatu ya wiki hii, gumzo kubwa mitandaoni ni kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwataka wamiliki wa mabasi ya abiria yanayotoka Dar kwenda mikoani kuanzia safari zao Stendi Kuu ya Magufuli iliyopo Mbezi Louis wilayani Ubungo. Lakini pia, mabasi hayo yanapotoka...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga Kwa Mwananchi wa Mkoani Kushangilia Matumizi ya Stendi ya Magufuli wakati Inamuongezea Gharama za Usafiri Nusu ya Nauli ya Mkoani-Dar

    Stendi ni mradi wa kunufaisha Serikali na kuibia wasafiri Kwa tozo plus kuongezea gharama za usafiri Wananchi. Wewe maskini kushadidiq stendi ambayo Haina faida kwako ni ujinga wa Hali ya Juu. Binafsi sijawahi ona faida ya stendi zaidi ya tozo unapoenda kupanda bus kana kwamba wewe abiria...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabasi yote yaende Stendi ya Magufuli, kama huwezi ondoka Dar Es Salaam hupawezi

    Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji. Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Albert Chalamila kwa kutoa amri mabasi yote ya safari za mkoani yakapaki kwenye Stendi ya Magufuli

    Habarini wana JamiiForums. Nimeleta uzi huuu kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Mh Albert Chalamila kwa kutoa amri kuhusu Mabasi yote yanayofanya safari za mikoani kutoka kwenye stendi bubu za Shekilango,Urafiki,Riverside,Manzese,Magomeni,Fire n.k kuhakikisha yanapakia na kushusha abiria...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tunaunga mkono kwa kauli ya RC kurudisha mabasi yote katika stendi ya Magufuli Mbezi

    Kwakweli LATRA ilikosea sana kuanza kutoa vibali kwa baadhi ya makampuni ya mabasi kuwa na stendi zao binafsi nje ya stendi ya Magufuli, hapo ndipo mgogoro ulipo anzia na matokeo yake stendi binafsi kushamiri kila kona. Kwasasa serikali ya Mkoa wa DSM inapaswa isimamie sheria na taratibu. Tuwe...
  8. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi wapewa wiki moja kurejea stendi ya Magufuli

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kubadilishwa kwa matumizi ya Stand ya Magufuli, Mbezi Lous

    Nina taarifa kwamba stand ya Magufuli anapatiwa muwekezaji kwa shughuli tofauti na stand inahamia mawasiliano (Japo si rasmi), na waliokuwa wanatoa huduma maeneo yale upande wa nje wameshahamishwa wamebaki wa ndani tu. Sababu moja wapo ya kujenga stand kule ilikuwa ni kupunguza msongamano...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 4, kampuni za mabasi zaanza kuikwepa stendi ya Magufuli iliyojengwa kwa Tshs Bilioni 50. Serikali yatoa tamko

    Licha ya Serikali kutumia zaidi ya Sh50 bilioni kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, bado mabasi hayo yanaendelea kushusha na kupakia abiria nje ya kituo na hivyo kukikosesha mapato. Kufuatia hali hiyo, Serikali imeunda timu maalumu ya wataalamu itakayofanya tathmini ya kina ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Alphonce Temba: Nikichaguliwa Mabasi yote yataishia Stendi ya Magufuli

    Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi. Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

    Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita. Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira. Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea? Stendi zote...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Baadhi ya watoza ushuru Stendi ya Magufuli sio waadilifu, wanatengeneza mazingira ya kutorejesha chenji

    Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa mara kadhaa nimekuwa nikienda Stendi ya Mbezi Magufuli (Magufuli Bus terminal) nikiwa nasafiri au...
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Toba! Hapa mbezi magufuli ndo palivyo? Kijijini tunapitwa na mengi sana

    Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa. Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Magufuli imefanya watu wa mikoani wengi kudhani Mbezi Luis ndio City Centre ya DSM na kuleta dharau

    Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa alikuwa mbunifu sana. John Pombe Magufuli akaisogeza mbezi Luis Hii imepekekea wamikoani wengi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maji yamerejea Stendi ya Magufuli punde baada ya JamiiForums kutoa taarifa ya kukosekana

    Nitangulize shukrani kwa JamiiForums kwani mara tu bada ya taarifa ya kukosekana kwa maji kuripotiwa mamlaka zimeweza kurejesha huduma ya maji katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani kijulikanacho kama Magufuli stendi. Awali nilileta uzi wa lalamiko la kutokuwepo kwa huduma ya maji kwa muda wa...
Back
Top Bottom