pato la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Professor Kitila: Pato la Taifa ni kwa kila mtu, ikijumuisha yule aliye juu sana hadi ambaye hana chochote

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa ufafanuzi wa kina leo Juni 23, 2026 bungeni kuhusu dhana ya Pato la Taifa (GDP) na Pato la Kila Mtu (GDP per capita), kufuatia kile alichokiita kuwa ni mkanganyiko mkubwa na mijadala inayoendelea kwenye jamii na mitandao ya kijamii...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo itumike kumrahisishia Mwananchi kuelewa na kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

    Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Ametoa wito kwa taasisi za kifedha na mamlaka za kodi nchini...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Pato la Taifa kwa Mtu umeongezeka kwa asilimia 7.4 na kufikia Milioni 3.5

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo leo Juni 11, 2026 amesema wastani wa Pato la Taifa kwa Mtu umeongezeka kwa asilimia 7.4 na kufikia shilingi 3,544,124 (dola 1,390) mwaka 2025, ikilinganishwa na shilingi 3,299,637 (dola 1,264) mwaka 2024. Akiwasilisha Bungeni taarifa ya hali...
  5. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia. Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi Duniani na Matarajio ya Mwaka 2026 (UNCTAD’s World Economic Situation and Prospects 2026) inatabiri...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Yachangia Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA ▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024 #MguuKwaMguu SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI WAONGEZEKA KWA ASILIMIA...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Yafikia Mchango wa Asilimia 10.1 Katika Pato la Taifa

    ▪️ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪️Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 ▪️ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪️ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini 📍 Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa

    SEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA ▪ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪ Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 ▪ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn Tanzania itakuwa karibu marambili ya Africa ya Kusini

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchi Tanzània PPPC Mhe David Kafulila amewaeleza Watanzania lazima wafahamu kesho ya Tanzània yao ni bora kama tu hali ya Umoja na mshikamamo iliyopo Sasa itaendelea kuwa ilivyo leo. David Kafulila anasema, Tanzania kwa kushirikiana...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

    Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu. Kwa miaka minne...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

    YAJAYO YANAFURAHISHA SANA Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter, Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo, 1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa...
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi BBC wanaposema pato la Taifa la Dunia wanamaanisha nini?

    Ama kweli hali ni ngumu duniani kote. Si tu kwa nchi yetu Tanzania, hata dunia kwa ujumla Shida sio faini waliotandikwa google, tatizo limeanzia kwenye Pato la Taifa la Dunia
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

    Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa. Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
  16. bennyblanco

    JamiiForums Tanzania Ukulima wa kahawa kwa maendeleo ya wakulima na pato la taifa (dhahabu shambani)

    Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, mabadiliko makubwa yameonekana kwenye sekta hii, ambayo yamebadilisha maisha ya wakulima wa...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa

    Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021 ilikuwa 7.3% na kwasasa 2024 ni 10.9%. Ongezeko la Masoko a Vituo vya Ununuzi wa Madini Kutokea mwaka...
  18. kaponder

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko makubwa katika uchukuzi, teknolojia ya habari na mawasiliano 2030-2055 katika kuchangia pato la taifa

    Uchukuzi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ni muhimu Sana kwa usatawi wa nchi ya Tanzania kwa kuchangia Pato la Taifa. Uchukuzi hujumuisha bahari(bandari), usafirishaji wa anga, barabara na reli. TEHAMA hujumuisha matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano ikiwemo mitandao ya...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutumie rasilimali zetu tulizopewa na Mungu kukusanya pato la taifa kuliko kuwa na kodi na tozo kandamizi kwa wananchi

    Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa. Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa. Hivi hii nchi...
  20. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo itawekeza kwenye kuwatafutia Watanzania fursa za kazi na Biashara nje ya nchi ili kukuza pato la Taifa

    TANZANIA IJAYO ISAIDIA WATANZANIA KUPATA KAZI NJE YA NCHI ILI KUKUZA PATO LA TAIFA. Diaspora ni moja ya wachangiaji wakubwa sana wa GDP ya nchi zingine hapa Duniani, Kenya wana kitengo ndani ya wizara ya mambo ya nje kinachowatafutia Wakenya kazi nje ya nchi ziwe za kuduma au za muda mfupi, hii...
Back
Top Bottom