mahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Pwani, Kunenge aitaka DAWASA kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na ukuaji wa viwanda mkoani humo. ‎Kauli hiyo imetolewa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  3. kilio

    JamiiForums Tanzania Kuna sintofahamu kati ya elimu ya Tanzania na Mahitaji ya soko la ajira/kidijitari

    Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini ulipogundua mshahara hautoshi tena kukidhi mahitaji yako?

    Najua wengi ni wahanga. Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka. Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka unajikuta ulichopokea lazima kiende kwenye. 1. CHAKULA hapa ni zaidi ya nusu ya mshahara ulionao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Asha Baraka aomba Simba ipewe uwanja kama ilivyopewa Yanga. Hivi haya ndio mahitaji ya Watanzania wabunge wanayojadili?

    Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini unavumilika ukiwa unajitegemea, hakuna umasikini mbaya kama unapokuwa na familia inayokutegemea halafu huna pesa

    Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni huzuni ambayo inavunja moyo kwa kiwango kisichoweza kuelezeka. Fikiria familia yako, wakiketi mezani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki chakula na watoto wenye mahitaji maalum, asisitiza upendo na wajibu wa jamii

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipojumuika na watoto wenye mahitaji maalum...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh 500,000 ya kwanza. Msaada kwa wataalamu. Akina Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wengineo please
  9. O

    JamiiForums Tanzania Motisha za Uongo kwa Vijana baada ya na Serikali kushindwa Kutatua Mahitaji ya Msingi Tanzania

    Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kuandikisha mtoto darasa la kwanza

    Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf yoyote ana viatu vyeusi miaka mitano mpaka sita namba 30 vidogo kidogo viko katika Hali nzuri...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Siku 9 kabla ya D9: Vitu na mahitaji ya muhim vimeanza kupanda bei

    Siku 9 kwenda D9 Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

    Tahadhari ni muhimu, Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa. Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili, Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

    Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena. Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu Hakuna trendings tena mitandaoni Hakuna 'new subscribers' Hakuna interviews tena...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zetu za afrika mashariki vitamin D inapatikana kwenye jua tu kukidhi mahitaji ya mwili (Punguza kutumia usafiri unaoziba jua)

    Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Features gani zingekuepo WhatsApp ingekuwa imekidhi mahitaji yako makubwa?

  18. OLS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wagombea urais hawaielewi Tanzania, wala hawajui mahitaji ya watanzania

    Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana yake wanaleta ndoto ambazo hazina kazi kwa watanzania. Mathalani, mtu analeta ahadi ya kuzalisha...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, ahadi zinazotolewa na wagombea wa kisiasa wakati wa uchaguzi zinaendana na changamoto na mahitaji?

    Wakuu ==== kampeni zimeanza! Kila mgombea wa urais anaahidi mambo ili kupata ridhaa ya wananchi. Lakini je, ahadi hizi zinaendana na mahitaji halisi ya taifa letu katika karne hii? Kwa mfano, ahadi za ‘ubwabwa hospitalini’, sera za kujua kusoma na kuandika darasa la tatu, na nyinginezo — ni...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mahitaji muhimu unapotaka kusajili kampuni yako

    Vitu Vinavyohitajika Kumiliki Kampuni 1. Jina la Kampuni Kuchagua jina sahihi la kampuni ni hatua ya kwanza muhimu. Jina lako linapaswa kuwa huru kufanya biashara nyingi tofauti chini yake bila kujifunga kwenye sekta moja. Unapochagua jina lisilopendelea biashara fulani, kama ABC Company Limited...
Back
Top Bottom