1. Wabena
2. Wahehe
3. Wasukuma
4. Wakurya
5. Waha
Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
bila
familia
kifo
kuchepuka
kudumu
kujenga
kujenga familia
kulinda
makabila
mali
ndoa
siri
tahadhari
tamaa
umakini
uvumilivu
wanawake
waume
wavumilivu
zao
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini.
Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months.
Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu.
Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa:
1. Uelewa wa maana ya ndoa
Watu wengi huingia kwenye ndoa wakifikiri ni mwisho wa safari ya furaha, lakini kwa kweli ni mwanzo...
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab.
Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda kichwa kwa ushungi na kupelekea hadi baadhi ya members jamvini kina Malaria 2 kumsifia kwa huo...
Kuna sifa moja ambayo ukiikosa kwenye hii dunia ya sasa, utakuwa mtu wa kulia kila siku na maisha yatakupiga ngumi za chembe bila huruma. Sifa hiyo sio mtaji mkubwa wa pesa, sio kuwa na digrii tano, na wala sio kujuana na wakubwa wa serikalini. Sifa hiyo inaitwa UVUMILIVU.
Lakini hapa sishushi...
Wanaukumbi.
TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri
Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea
Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi
Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.
Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
12 January 2026
Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong
Januari 12, 2026
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi?
Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro.
Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni.
Victoria...
Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe.
---
🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.