passo

 1. nentewene

  Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

  Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
 2. malika123

  Car4Sale passo 7mil 0719444553

  43,000km cc 1200 location Dar es salaam gari ni mpya, (diplomatically used) 0719444553
 3. K

  NATUFUTA VITZ, PASSO AU STARLET, BUDGET TSH4 MIL

  Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga. Kwa walio serious wanicheki...
Top Bottom