uhuru wa kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  2. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima

    Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima. Tunaweza kukosoa, kuuliza na kutoa maoni kwa nguvu ya hoja, bila matusi, dharau au chuki. Tujenge utamaduni wa kuheshimiana tunapotoa maoni. Je, tunaweza kutofautiana bila...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Godfrey Mosha: Watanzania wanadanganywa eti kuna utekaji ni uongo mtupu

    Mwenyekiti wa Mufindi Environmental Transformation, Godfrey Mosha, amesema madai kuhusu kuwepo kwa matukio ya utekaji nchini ni ya uongo, akidai yanalenga kueneza hofu na kuidhoofisha Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mosha alisema kwa sasa wananchi wana uhuru wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania J.K. Rowling: Ikiwa uhuru wa kujieleza ni wako tu, na si kwa wapinzani wako wa kisiasa, haujaheshimu misingi ya uhuru

    J.K. Rowling ni mwandishi, mtayarishaji wa filamu, na mwandishi wa skrini Mwingereza, anayejulikana zaidi kwa kuandika mfululizo wa vitabu maarufu sana vya Harry Potter ,akizungumzia dhana ya uhuru wa maoni na misimamo ya kisiasa kupitia ukarasa wake wa (X) Zamani Twitter anasisitiza umuhimu wa...
  6. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Njombe: Huyu kijana bila uoga azungumzia kuhusu haki, mauaji ya raia na uminywaji wa demokrasia mbele ya RC Njombe Anthony Mtaka

    Literacy Rate ya WaTz imeanza kufika level za juu: Msikilize huyu kijana akimpa shule RC Mtaka.
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

    Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tubadilishe katiba kifungu cha uhuru wa kujieleza hakina maana icho kifungu ni mfu

    Tutaendelea kupotea ndugu zetu na wapendwa wetu mpaka lini? Ni bora kubadilisha katiba na ikatamka wazi kwamba ni kosa kisheria kukosoa serikali ni kosa kisheria kua na uhuru wa kujieleza na kua na mawazo huru. Imetosha tuache kuishi kwa unafiki wa katiba yetu ambayo imetoa uhuru wa kujieleza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Umma, Polisi na watumishi wa Umma mmefanya kosa gani hadi mfunge sehemu ya comments?

    Wakuu, Teknolojia imeleta mabadiliko makubwa sana ikiwemo kwenye mawasiliano ikiwemo Web 2 ambayo inarahisisha watu kuchangamana na kutoa maoni yao katika mambo kadha wa kadha. Kupitia maendeleo haya tunategemea kuona wananchi wakitoa maoni yao kwa uhuru na kushiriki katika mijadala mbalimbali...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Haki za Binadamu: Uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, unyanyasaji, na ukandamizaji wa waandishi

    Uhuru wa Kujieleza: Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari. Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

    Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

    Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi. Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hali ya internet ikoje maeneo ulipo? Unaweza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii bila shida?

    Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni kwenye mitandao yote, unataka kununua umeme unaambiwa mtandao unasumbua, una ka intavyuu ka mtandaoni...
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
  19. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Hali ya Tanzania inaogopesha kutoa maoni kwa sababu ya Polisi, UVCCM na CCM yenyewe

    Honestly ndio ukweli. Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu! Kwa hali ilivyo sasa ivi Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa Kwa sababu ukitoa maoni ambayo wenye mamlaka hawayapendii wallah nakuambia unakamatwaa very soon kama Mh Mboye alivyokamatwa leo...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
Back
Top Bottom