Search results

  1. Librarian 105

    SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  2. Librarian 105

    Vitendo vya kihalifu nchini tishio kwa usalama wa raia na mali zao

    Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao. Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
  3. Librarian 105

    Bongo kuna wachambuzi au wachafuzi?

    Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa Ali Mayay, Kiemba Amri na Edo Kumwembe. Wengi naona sio wadau, hii tetesi imekaa vipi?!
  4. Librarian 105

    Vichaa katu hawaungani!

    Vichaa 100 wanaweza kulindwa na mlinzi mmoja tu mwenye silaha. Na mlinzi akawa na amani kabisa ya kutoundiwa uasi wowote. Hili funzo kwenye maisha yetu ya kifamilia na kijamii. Familia inaweza kuwa na ukoo mkubwa usio na faida ila tu kipindi cha misiba na harusi ndo wanakaa pamoja kushirikiana...
  5. Librarian 105

    Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
  6. Librarian 105

    Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

    Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority. Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
  7. Librarian 105

    Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

    Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa. Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
  8. Librarian 105

    Nimekaa pale. Natazama tu wanaojipa vyeo vya Ujinga

    Eti msiba wa wengi ni harusi! Jiulize mbona matanga hayalaliwi ukumbini kwa taarabu na slow jam? Eti siogopi kudaiwa, serikali yenyewe inadaiwa! Jiulize deni la nchi analipa nani kama sio wewe? Halafu tafakari lini serikali ilibeba deni lako? Akili itakaa sawa pindi utakapolala nje au kurudi...
  9. Librarian 105

    SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  10. Librarian 105

    Kijana ni Taifa la leo. Tukatae kusahaulika na kutumika Kisiasa na Kiuchumi

    Kila nikitafakari hatma yetu sisi vijana naumia kutoiona kesho yetu katika nchi ya ahadi. Kiuchumi tunakabiliwa na ukosefu wa ajira na kisiasa tunaambiwa ni taifa la kesho. Ingawa tuna hussle na maisha lakini hatupo pamoja kiroho na kimwili kupamambania haki zetu kitaifa. Tufanyaje? Kupitia uzi...
  11. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  12. Librarian 105

    Mtazamo wangu binafsi baada ya fainali ya kwanza ya shirikisho

    USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...
  13. Librarian 105

    Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  14. Librarian 105

    Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  15. Librarian 105

    Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  16. Librarian 105

    Wanasimba wanatarajia nini chini ya uenyekiti wa Murtaza Ally Mangungu?

    Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA. Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
  17. Librarian 105

    Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  18. Librarian 105

    Takriban miaka 62 sasa maadui wa taifa hawapungui ila wanaongezeka

    Baada ya uhuru tulianza na ujinga, maradhi na umasikini. Hadi sasa hakuna aliyepunguzwa walau makali... Sasa hivi wanaendelea kuongezeka. Kuna ufisadi, rushwa, uchawa, watu wasiojulikana, ukanda na mitandao ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa, huenda orodha inaendelea Tatizo liko wapi...
  19. Librarian 105

    Hivi unajua kwa nini Mapenzi yaimbwa sana?

    Mimi najua ni kwa sababu wapo wenye kumahabatika nayo na wapo wenye kuumia kwayo na wapo wenye kuishi kwayo baina ya mahaba na maumivu ya mapenzi. Wewe je?!
  20. Librarian 105

    Siku mpya na pumzi mpya ya harakati za kudai Katiba mpya

    Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa maboresho ya kukidhi matakwa ya utawala wa chama kimoja na kisha kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo...
Back
Top Bottom