Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini. Anakwenda kuitetemesha Kaskazini yote hadi Nchi Jirani.
Anakwenda kutua jijini Arusha na kupokelewa kwa...
Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni ya Kiongozi wa Serikali kumpa maua yake na lile tukio la Mama mpita njia akiwakataza wananchi...
Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha.
Mkutano huo umeanza kwa kikao cha ngazi ya Wataalamu kitakachofanyika kuanzia Mei 29...
Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
Anonymous
Thread
arusha
hata
jijiniarusha
kabla
kazi
maeneo
nauli
wana jf
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
02 March 2026
TAARIFA: Rais Mahama afungua rasmi mwaka wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo 02 March 2026
Rais John Dramani Mahama aliondoka Accra Ghana Jumapili, tarehe 1 Machi 2026, na kuelekea Arusha, Tanzania.
Rais John Mahama ni Mgeni Maalum wa Heshima katika sherehe kuu ya kufungua...
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
Mkutano huo Maalumu wa...
Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli...
Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa mpira wa miguu katika eneo la Olmoti, jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja...
Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa
Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
Habari, Wakuu humu jamii forum
Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used.
Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo
TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB.
Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa.
Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.
2)Uchache...
Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano.
Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde...
Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027.
Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.