mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. KINGSLEE

  Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

  Kumekuwa na Tabia mbaya sana kwa hawa watu kutunyanyasa pindi tunapokuwa safarin. Sasa dawa yao ipo jikon. Tutakomaa nao mpka kieleweke.. Kwa familia zilizokumbwa na Mkasa huu Tafadhal naomba Mnisamehe sana. Mungu Ibarik Tanzania Mungu Ibariki Africa. ===== TAKUKURU Mkoa wa Iringa...
 2. MK254

  BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

  Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na...
 3. Frustration

  Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

  Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania. Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado. Kiongozi huyo...
 4. muafi

  Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

  Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
 5. Kasomi

  Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani. Kwakweli huyu Mzee...
 6. M

  Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

  Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
 7. S

  Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

  Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana. Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika. Mifano hii hapa:- 1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa 2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa 3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye...
 8. K

  Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

  Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
 9. Kasomi

  Mtanzania kuchezesha AFCON

  Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
 10. Maghayo

  Kuna mtanzania yoyote amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate bachelor degree kwenye hivi vyuo?

  Mzuka wanajamvi! Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins? Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD. Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
 11. VUGU-VUGU

  Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

  === Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres, Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani, ===...
 12. M

  Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

  Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi. Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
 13. R

  Hivi Ratiba ya Mtanzania (Daily Routine) ikoje wadau?

  Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi. Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala? Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa. ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na...
 14. DocJayGroup

  Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

  Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
 15. aleesha

  Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

  "Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi. ==== Rais Mwinyi...
 16. Labani og

  Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

  Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
 17. MK254

  Juzi kati Mtanzania alikamatwa kwa kubaka mbuzi, haya mwingine amebaka nguruwe, kuna uhaba gani huko bandugu

  MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
 18. Mr Dudumizi

  Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

  Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo...
 19. peno hasegawa

  Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

  Sikiliza…..
 20. Lord OSAGYEFO

  Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

  Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA? Mwenye Ufahamu atujuze
Top Bottom