jaji mutungi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  2. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  3. J

    Mnyika: Msajili Jaji Mutungi ameitisha kikao cha Makundi mbalimbali kujadili Katiba Mpya 26/5/2023, Sisi CHADEMA hatutaenda Hatuna Imani naye!

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji...
  4. BARD AI

    NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  5. Q

    Jaji Mutungi: Mkutano wa leo Sio mkutano wa Rais na Vyama vya Siasa ni mkutano wa Wadau wa Siasa, Rais anakuja kuufungua tu.

    Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais. ====================== “Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
  6. J

    Jaji Mutungi: Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ndio maana mkutano wa vyama vya siasa utaongozwa na mtu huru

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru. Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe...
  7. Hismastersvoice

    Jaji Mutungi, kama sheria ipo lakini kuna msuguano wanaosuguana hawasuluhishwi

    Kitendo cha kuvitaka vyama vya siasa vikutane na jeshi la polisi kupata usuluhishi kuhusu haki ya kufanya siasa ni kukwepa wajibu wako, vyama husika vipo kisheria na viliposajiriwa vilipata maelekezo yote ya kikatiba, sidhani kama vilipata maelekezo ya kutokufanya siasa bila ya makubaliano na...
  8. Analogia Malenga

    Jaji Mutungi: Sijazuia mikutano ya ndani ya kisiasa ya vyama

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu...
  9. Erythrocyte

    Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
Back
Top Bottom