LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji...
Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
Jumamosi ya tarehee 20.Nikiwa nyumbani mida ya usiku masaa ya saa tano kuelekea saa sita.
Nikapata shida ya dawa za mtoto ikabidi nitoke maana duka la dawa sio mbali kwa kutembea ni kama dakika 12 kulifikia kwa kutembe.
Kweli ni kakuta dukani wapo nika nunua dawa.
wakati narudi na ujasiri...
VETA
Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa kusubiri maelekezo ya kupangiwa vituo vya kazi.
Hata hivyo, hadi sasa zimepita takribani miezi miwili...
Anonymous
Thread
bila
kazi
miezi
mshahara
njianjiapanda
veta
waajiriwa
watumishi
watumishi wapya
Kuna barabara ya kutoka hapa Njia Panda ya Tegeta A hadi posoposoa ni kero sana tena kipindi hichi cha mvua
Yani barabara hii ilianza ujenzi wa awali tu miezi miwili nyuma, na tangu hapo hakuna kinachoendelea, waliichonga na kumwaga vifusi kisha wakasawazisha lakini toka hapo hakuna...
Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni short cut ya matosa kutokea njia 4.
Yaani magari yanapigani pini hakuna linalompisha mwenzie hadi...
Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
Wana jamvi habarini niko na mtihani sana na sijui kama nitafanyajeee kuna mmama ivi ana 36 years kuhusu maisha yuko poa yaaan ako vizur kiufupi anataka nimuoe na mm choka mbaya hali yangu sio nzuri kiuchumi jee nikimuoa nitaishi kwa amani kweli au nifanyajeee?
Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI
Eneo ni sqm 1700
Price; Million 6. Hakina udalali.
Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Kwa mawasiliano; Njoo PM
Nipo njia panda, je huyu mtoto ni wangu ?
Habari za siku nyingi JamiiAfrica!
Akili yangu imechanganyikiwa sana hapa nashindwa kuelewa cha kuamua juu ya mkasa huu uliyo nitokea.
Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke sehemu x,baadae tukaacha bila sababu za...
Utangulizi
Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa.
Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
changamoto
himo
kilio
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
kukosekana
mali
mkuu
moshi
njianjiapanda
raia
uchaguzi
uchaguzi mkuu
usalama
usalama wa raia
wananchi
wilaya
zao
Hapa Simba angekwanguliwa points 15.
Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern.
Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi watatu wote kimsingi wakali.
Mmoja anasoma chuo anapenda out sana pia ni celebrity.
Mmoja anafanya...
Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake hazimhusu,huyo hajielewi kabisa.
Hapa nchini kwetu,Siasa ndizo zinazotupangia karibia kila kitu kuanzia...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
With Trump's US election win, is Europe now on its own?
EU and NATO members were not shocked by Donald Trump's victory in the US presidential election but are now bracing for wild transatlantic ties. Will this accelerate efforts for more EU sovereignty?
NATO's Mark Rutte (right) is considered...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.