The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.
Picha hii hapa chini ilinaswa kabla ya Mauaji ya Askari wa Uingereza kwenye Jiji la Belfast Ireland.
Mwezi Machi 1988, askari hawa wawili wa Jeshi la Uingereza waliokuwa wakifanya kazi katika kitengo cha mawasiliano ya kijasusi(signalers)walivutwa kutoka kwenye gari lao na kuuawa huko West...
Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana.
Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia.
Mifano mikubwa ni:
Jordan (1970–71): Mapigano ya Black September kati ya serikali ya Mfalme Hussein na Palestina yalisababisha Palestina...
Ndugu wana-JamiiForums,
Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa.
Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia.
Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
Kwa hili niko na Mange 1,000 percent.
Watanganyika wametumia msiba wa mume wa Samia kumkumbusha kwamba na wao waliumia vibaya kuuliwa wame, wake, watoto, na ndugu pamoja na utekaji, utesaji, ubakaji na ufiraji usioisha.
Sasa Lissu wawezaje kufanya mizaha na kucheka cheka na watu waliokupiga...
https://youtu.be/yqK9MbgWEuo
🔥 SIRI YA LAWI NANGWANDA SIJAONA: KADI YA TANU YA 1955, NYARAKA ZA AFRICAN ASSOCIATION NA BARUA YA KUMWANDIKIA NYERERE!
Je, unajua kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye harakati za TAA (Tanganyika African Association) na baadaye...
In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022.
Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana.
Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
Tambua kwamba kazi nyingi za kuwatetea waathirika mbalimbali, Lissu amezifanya bure bila kilipwa na hao watu.
Lissu anasema;
Sasa leo nataka nizungumze kuhusu mchango wangu wa kupigania haki za binadamu nchini Tanzania.
Ushahidi wa leo utasema ni kwanini nashitakiwa. Leo nashitakiwa kwa...
Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha,
Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo,
Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki kwake,
Naye akaanza kutoa lawama na kwa nini flan na flan wapo vile,
Mh! Mwisho nikajiona nimeomba...
22 August 2026
https://m.youtube.com/watch?v=4x2ejQJnBQk
Marafiki, wanazuoni na makamaradi wanampongeza proffesa Shivji kutimiza miaka 80 ya maisha yake na mchango wake katika jamii kupitia kazi zake za uwakili, mwanazuoni uanaharakati pamoja na maandishi mbalimbali ambayo ameandika kuwahusu...
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya kuleta mabadiliko.
Mambo kama haya yanafifisha sana harakati za mabadiliko nchini, yanaonyesha watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.