Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...
Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA
Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi.
Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
Wanabodi,
Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
Anonymous
Thread
katika
kero
kichwa
kutoka
maeneo
maji
singida
suwasa
taarifa
ukosefu
ukosefu wa maji
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la ikulu ya Marekani.
Hapa inawezekana Netanyahu anahusika kuhakikisha Trump haingii makubaliano yoyote...
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...
Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya
Chanzo cha picha,NMG
Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli...
Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na kuzikwa.
Soma:
Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa
Ni mara...
Nimeona Instagram ya yericko Nyerere akizungumzia ugonjwa huo mpya
Nipo igunga na kuna familia zimekumbwa na ugonjwa huo
Yaani hayo mafua zaidi ya wiki hayasikii dawa
Mwenye kujua shida nini atueleze
Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida.
Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji.
Hatukwenda...
Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi.
Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa miezi nane, kwa kumchinja shingoni na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Akithibitisha kutokea kwa...
Elimu yako, inakusaidiaje au itakusaidiaje katika kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine?
Sema ukweli, achana na mambo ya kujimwambafai na wingi wa vyeti.
Karibu kwa mjadala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.