mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Waziri wa Elimu Tunji Alausa apiga marufuku waliopata shahada za heshima kutumia title ya "Dr"

    Serikali ya Shirikisho la Nigeria imepiga marufuku watu waliotunukiwa shahada za heshima kutumia jina la “Dr” mbele ya majina yao katika matumizi rasmi, kitaaluma au kikazi. Waziri wa Elimu wa Nigeria, Tunji Alausa, alisema kutumia cheo hicho kana kwamba mtu amekipata kupitia masomo rasmi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  5. E

    JamiiForums Tanzania Iran ndugu yetu ameshindwa kuruhusu Meli zetu au ndugu wa mchongo

    Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  8. rushanju

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uhalisia wa wakatoliki wa mchongo

    Hawa anayewalipa ni nani? Anafaidika nini? Je, wanadhalilisha dhehebu au wanadhalilisha ukristo kwa ujumla au wanajiaibisha wao?
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yajue yatakayokuwa Matokeo ya Tume ya mchongo ya Uchunguzi wa Mauaji/Vurugu za 29 Oktoba, 2025

    1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC. 2. Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hawakutoa amri za kuamuru kuuwawa kwa Wananchi- Hili litasemwa ili kuwaepusha...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  12. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

    My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
  13. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Maduro ni mchongo uliotengenezwa!! Mchongo mzima ni huu hapa!

    Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa ni kukamatwa kwa Maduro! Ila ukitumia jicho la tatu kwa kufuata mtiririko ufuatao utagundua ni mchongo ili kuipa hadhi Marekani pamoja na Trump! Hii ni jana: Maduro says Venezuela open to US talks on drug trafficking...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wanasema huyu ni mzungu wa mchongo 😂😂

  15. W

    JamiiForums Tanzania Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tume ya mchongo imelazimishwa kuundwa alafu uzinduzi majibu analeta samia mwenye hapo hapo kwenye uzinduzi.

    Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
  17. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Teuzi za mchongo

    Wakuu Hizi teuzi za bi mkubwa sijaona cha maana yan ni kama anagawa peremende za shukran kwa waliofanikisha kukalia kiti watanzania tuna matakwa mengi mno anakuja kutuletea eti wizara ya mahusiano,mahusiano gani sasa kama kuna hyo wizara ina maana wizara ya gwajima haitoshi au imezidiwa? wizara...
  18. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania kuna mchongo nausikilizia apa wakuu

    kuna mchongo nausikilizia apa wakuu
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
Back
Top Bottom