Astrologically
Jana ilikuwa portal...
Maana ya 10/10/10 katika Unajimu na Numerolojia
Katika unajimu na numerolojia, 10/10/(2026)10 inachukuliwa kama siku yenye nguvu kubwa sana — "mlango" wa kiroho wa mwanzo mpya na utimizaji wa ndoto.
Inaitwa "portal" (mlango) kwa sababu namba 10 kurudiwa...
Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?!
Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sheria za nchi yetu mtu mzima kutongozwa mtongozaji anakuwa amevunja sheria kwa mujibu wa kifungu kipi cha sheria?
nasema hii ni maajabu...
Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka.
Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi?
Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje?
Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
Star Anise (kash kash) ni kiungo cha thamani kinacholimwa zaidi maeneo ya milimani yenye baridi kama Lushoto na Nyanda za Juu Kusini. Mti wake huchukua miaka kadhaa kuanza kutoa matunda, huku msimu mkuu wa uvunaji ukiwa ni kati ya Machi na Mei. Baada ya kuvunwa, matunda haya huanikwa juani hadi...
Maajabu Saba ya Dunia ya Kale ni orodha ya majengo na sanamu za kustaajabisha zilizojengwa na wanadamu katika kipindi cha kale kuzunguka Bahari ya Mediterania. Kati ya maajabu haya yote, ni Piramidi Kuu ya Giza tu ndiyo bado ipo imesimama hadi leo, huku mengine yote yakiwa yameharibiwa na...
General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:
Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million
Counting speed:
Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.
Kenya needed...
Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera.
Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu.
Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa.
Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%….
Watu waliopigiwa kura milioni 31+….
Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela na magerezani….
Watu ambao wanaamini kabisa kuwa watu wote waliouliwa Oktoba 29 waliuliwa kihalali...
Wakuu,
Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440).
Kwa mujibu wa taarifa...
Kuna Gen Z nilikuwa nae kwa mwaka jana sasa mwaka huu mwanzoni Kuna wahuni wakaweka mguu Kati mi naona katoto kanazidi kupendeza afu dharau zinazidi kishingo upande nikakubali yaishe.
Sasa sijui ni mkosi ama udomo zege kila binti nayejaribu kuapproach nakula za uso sasa ikabidi nirudi rasmi...
⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO
Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.