Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Acha kusikiliza maneno na stori za kuikuza NGONO kwamba ni kitu cha lazima au ni kitu cha kifahari.Chukulia ngono kama njaa.
📌📌HAKUNA SIKU UTAKULA NA UTASHIBA, UKILA YAKIPITA MASAA KADHAA NJAA IPO PALEPALE.
KAA CHINI JIULIZE TANGU UMEANZA KUNGONOKA MPAKA LEO UMEFAIDIKA NA NINI.MFANO JANA...
Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM.
Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...
Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao.
Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao.
Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok.
Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Wakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?
Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.
Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula.
Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
Mchekeshaji wa Kenya, Crazy Kenna, anaendelea kupata umaarufu kote barani Afrika kutokana na maudhui yanayoakisi maisha na uzoefu wa Waafrika. Ameteuliwa kuwania Tuzo za AFRIMMA za mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa na ushawishi katika nyanja ya burudani ya kidijitali barani Afrika.
Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana.
Na daima,
hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu.
Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania
Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani)
"Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru" Yn 8:32
Ni nini tofauti ya Furaha na Amani katika Taifa?,Je watawala na watawaliwa kwa...
Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?,
Karibu utuambie
Salaam Wandugu,
Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano;
Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda.
Pia kutokana na...
Kirusi... mara nyingi tunaposikia neno kirusi, tunafikiria maradhi
Kirusi ni maambukizi ambayo huingia mwilini na kuanza kuharibu taratibu, chini kwa chini(ma Doctor kama nakosea nisahihisheni)
Mara nyingi unaweza usigundue mapema, na ukichelewa kupata matibabu sahihi, madhara yake yanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.