vocha

Vocha (Greek: Βόχα) is a former municipality in Corinthia, Peloponnese, Greece. Since the 2011 local government reform it is part of the municipality Velo-Vocha, of which it is a municipal unit. The municipal unit has an area of 87.895 km2. Population 10,966 (2011). The seat of the municipality was in Zevgolateio.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Nataka kuanza biashara ya vocha za jumla

    Kwa anaefahamu bei ya vocha kwa jumla ili na mimi niuze jumla madukani.
  2. Mzee Saliboko

    Vocha za voda zinagoma

    Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
  3. Mr Lukwaro

    Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

    Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo. Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu. SWALI LA KWANZA Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu...
  4. Zekoddo

    Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  5. W

    Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku. Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

    Habari za Sabato! Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia vocha huyo hatuwezi ku-date naye. Kwanza hatuamini kabisa kuwa Mwanamke mrembo na mzuri anaweza kukosa nauli au vocha. Hilo siwezi kuamini. Hiyo imetusaidia...
  7. Librarian 105

    SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  8. jjs2017

    Kumnunulia mwanamke vocha na asikutafute inakera sana

    Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna.... Hakuna kitu kinamkera mwanaume akili kama anakununulia vocha na ana hakikisha bundle unalo dk zipo za kutosha tena ana kuuingia mitandao yote mwezi mzima ila wewe huna hata mpango wa kumtamkia umeamkaje au usiku mwema...
  9. Rwaz

    Vocha ya sh 1000 kuuziwa 1200 inatafsiri nini!

    Kifupi mtaan vocha zimepanda 10% katika kununua na sio kwenye label. NIjuavyo vocha na pesa taslim ni kitu kile kile tofaut na bidhaa nyingine. Kwamba natumia elfu 2000 taslim kubadilishana na elf 2000 digital. nilitarajia kama watu wa bei wameridhia bas vocha isomeke ni ya 2200. Kwani nini...
  10. S

    Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  11. adriz

    Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

    Moja kwa Moja. Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
  12. 2013

    DOKEZO Airtel wamebuni wizi mpya wa kuuza vocha ambayo haijaanza kutumika

    Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au haujalitumia vizuri. Lakini sasa wamekuja na mbinu nyingine ya kuwaibia wateja kupitia kuwauzia "Tozo" ya...
  13. J

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  14. Roving Journalist

    Mbeya: Walioghushi vocha za pembejeo za kilimo wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa kwanza Bi. Never Black Mwakalinga alikuwa Wakala wa Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Mwaya na...
  15. Dabil

    Kujiunga bando kwa vocha na Halopesa kunatofautiana kasi ya kuisha

    Sijui kama kuna mtu ameona hili kwa halotel na Tigo, ukijiunga MB kwa kuingiza vocha ni tofauti na kujiunga moja kwa moja kutoka halopesa au Tigo Pesa. Kujiunga kwa vocha mb zinakaa ila kujiunga kwa halopesa au tigo pesa mb zinaenda kwa kasi. Nikijiunga kwa vocha GB 1 naweza kukaa siku 3 hadi...
  16. L

    Natoa vocha kwa warembo bora wa wakati wote wa JF

    Kama wewe ni mrembo Bora wa wakati wote na unajikubali, Nithibitishie ,nikupe vocha na MB za kutosha kuendelea kupenzika na kuchat Only 5 women Thanks
  17. I

    Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  18. S

    Makampuni ya Mawasiliano tunaomba mzindue huduma ya kubadili vocha kuwa muamala wa pesa

    Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji. Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
  19. K

    Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
Back
Top Bottom