ataka

Attack (Bulgarian: Атака, romanized: Ataka) is a nationalist political party in Bulgaria, founded in 2005 by Volen Siderov, who was at the time presenter of the homonymous TV show Attack on SKAT TV.
There are different opinions on where to place the party in the political spectrum: according to most scholars it is extreme right, according to others extreme left, or a synthesis of left- and right-wing. The leadership of the party asserts that their party is "neither left nor right, but Bulgarian". The party is considered ultranationalist and anti-Roma, as well as being anti-Muslim and anti-Turkish. The party opposes Bulgarian membership in NATO and requires revision for what it calls the 'double standards' for the membership in the European Union, while members visit international Orthodox and anti-globalization congresses and the party is closely tied with the Bulgarian Orthodox Church. It advocates the re-nationalisation of privatised companies and seeks to prioritize spending on education, healthcare and welfare.In the Bulgarian parliamentary elections of 2005, 2009, and 2013 Attack was consistently the fourth-strongest party. In the 2014 European Parliament election, the party won no seats. Attack was a member of the former Identity, Tradition, Sovereignty European parliamentary group.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Ataka Mifumo Endelevu Ya Ukusanyaji Taka Na Hatua Za Kukabiliana Na El Nino

    Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amewataka viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kuweka mifumo endelevu ya ukusanyaji na utunzaji wa taka, kudhibiti uchafuzi wa mazingira na kuchukua hatua za kupunguza athari za mvua za El...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Wanaompinga Samia CCM Washughulikiwe

    Ataka Dotto Magari aachiwe kazi ya kumsafisha Samia Kenya. https://youtube.com/shorts/ON_WpZu8iGA?si=GzigTRdyde9LV3_4
  5. R

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua

    Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo?
  6. O

    JamiiForums Tanzania MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI MWANZA WAONDOLEWE

    MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI WAONDOLEWE Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi ameingia katika mgogoro na kashfa nzito na wananchi wake baada ya kuanza kueleza kuwa wananchi wanaoishi mlimani wanapaswa kuondolewa. Nzilanyingi amefikia hatua ya...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  8. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Aweso ataka Maji Geita kwa 100% Oktoba 2026

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini. Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake) mtaa wa Senga Geita amesema atahakikisha kazi inafanyika kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania DC Gowele ataka uangalifu zoezi la fidia TSF-North Mara

    DC GOWELE ATAKA UANGALIFU ZOEZI LA FIDIA TSF-NORTH MARA TARIME Mkuu wa Wilaya ya Tarima mkoani Mara Mhe. Meja. Edward Gowele, amewaagiza viongozi wanaosimamia zoezi la uthamini wa fidia eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF-North Mara kuwa makini dhidi ya wananchi wanaojiingiza katika maeneo...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka ataka maboresho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano kuimarisha mifumo ya uchaguzi

    Profesa Anna Tibaijuka amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inahitaji kufanyiwa maboresho katika maeneo mbalimbali ili kuimarisha mfumo wa kisiasa na uchaguzi nchini. Profesa Tibaijuka ameyasema hayo leo Ijumaa, Agosti 28, 2026, wakati akizungumza katika Jukwaa la...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ataka ubunifu upelekwe sokoni

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali zinaendelezwa, zinalindwa na kupelekwa sokoni ili zitoe suluhisho kwa changamoto mbalimbali na...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Kaanza kudoda ataka vita visimame!!!

    Rais wa Iran: Ni wakati wa kukomesha vita na Marekani huku Tehran ‘ikiwa katika nafasi ya kushinda vita!!’ Mwanamke anapita kwenye bango la kukaribisha lenye Rais wa Iran Masoud Pezeshkian kando ya barabara huko Islamabad, Pakistan, Jumanne, Juni 23, 2026. (Picha ya AP/Anjum Naveed) Rais wa Iran...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Haji Manara apandwa na wazimu baada ya Oscar kuilalunu serikali, ataka kulia studio

    Haji manara apandwa na sukari studio. DIWANI WA KARIAKOO KAPANIC
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasira ataka WANA CCM wakutane, wasiingie mkenge wa maneno ya Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataka Haki na Uadilifu kwa Majaji

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ataka vitendo katika uhifadhi wa mazingira

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti pembezoni mwa Mto Mkondoa uliopo Kata ya Kasiki Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Mei 15, 2026. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema Usimamizi na uhifadhi wa mazingira...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran inataka Vita viishe, Rais ataka wananchi wajibane

  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ataka taratibu za uhamiaji zirahisishwe AFCON 2027

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani na Tamisemi kukamilisha maandalizi ya mipakani kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON 2027) zitakazoandaliwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza Namanga, Arusha Februari 23, 2026, amesema...
Back
Top Bottom