amerika

 1. Barbarosa

  Suluhisho USA, AK & Co. Wazungu wajitenge waunde States zao wawaachie waliobakia Amerika!

  Multiculturalism imeshashindikana, ushahidi uko wazi kuanzia USA mpaka AK, sasa hivi USA inawaka moto, suluhisho pekee ni ,, racial segregation” nina uhakika kila ,,race” ikikaa peke yake itafanya inavyotaka, ...
 2. isajorsergio

  Jamhuri ya Panama | República de Panama

  | Jamhuri ya Panama, Republic of Panama au República de Panama ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini na kwa kiasi Amerika ya Kati. Panama yenye ukubwa wa 78,200 Square Kilometers sawa na 30,193 Square Mile's ni taifa la kidemokrasia. Bendera ya Jamhuri ya Panama Mji mkuu wa Panama ni...
 3. Sandali Ali

  Ukienda kusoma Asia, Ulaya au Amerika Mwafrika unamegewa lecture kwa kipimo

  Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo. Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana...
 4. Sky Eclat

  Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

  Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
 5. Nyamsusa JB

  Majuma Mawili ya Uchungu Mwingi kwa Amerika Yanakuja

  Hii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika. Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha. Na pia ndio inakadiriwa kua ndio...
 6. muqawama

  Siasa za Marekani: Je, unajua maana ya Serikali kufungwa(Government Shutdown)?

  KWENYE SIASA ZA MAREKANI: JE UNAJUA MAANA YA SERIKALI KUFUNGWA (Government Shutdown) ? 🔍 Swali 1: Nini maana ya Serikali kufungiwa? Jibu: Siasa za Marekani, Serikali kufungwa hutokea pale mambo mawili yanapotokea. Bunge la Kongress linaposhindwa kupasisha mswada wa Matumizi ya serikali...
Top Bottom