dollar

Dollar (symbol: $) is the name of more than 20 currencies. They include the United States dollar, Australian dollar, Canadan dollar, Hong Kong dollar, New Zealand dollar, Singapore dollar, New Taiwan dollar, Jamaican dollar, Liberian dollar, Namibian dollar, Brunei dollar, and several other.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA Tanzania has officially banned the use of the US dollar and all foreign currencies for domestic transactions

    Tanzania has banned the use of the U.S. dollar and other foreign currencies for local transactions as the government moves to strengthen and protect the Tanzanian shilling. Under the new directive, businesses and individuals will be required to conduct domestic transactions using the local...
  2. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 8 million per lab mouse for a 1 billion dollar drug

    Minister for Science, Technology and Innovation Dr Monica Musenero Musanza has defended past public spending on research, including the controversial Shs8 million laboratory mice, saying the investment is now yielding tangible results with the potential to transform Uganda’s economy. Dr. Monica...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Shilling Under Pressure as Dollar Surges Amid Middle East Crisis

    Kenya’s currency is facing renewed pressure as the ongoing Middle East conflict drives investors toward the US dollar, raising concerns about the cost of living and economic stability. According to recent data, the Kenyan Shilling weakened to about KSh129.72 per dollar, down from KSh129.30...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yashuka kwa 3% dhidi ya dola ndani ya wiki moja

    Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%. Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu. Mwaka jana tulizuia vitu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Samia kapania kugeuza Tanzania kuwa Zimbabwe ya Mugabe! Dollar $ itapanda

    Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
  7. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Je, unaifahamu "One million dollar paranormal challenge"?

    Challenge ya Dola Milioni Moja (Tsh 2.5b) ilikuwa zawadi maarufu iliyotolewa na James Randi Educational Foundation (JREF) kwa mtu yeyote ambaye angeweza kuthibitisha uwezo wowote wa kisaikolojia, kimiujiza au wa kichawi chini ya mazingira ya kisayansi yaliyodhibitiwa (controlled environment)...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Deni la marekani lafikia dollar trilion 37, wachunge sana marekani isije ikauzwa!

    Deni la Marekani Limefikia Zaidi ya Dola Trilioni 37 kwa Mara ya Kwanza Maishani Hapa ikiwa na maana kwamba Deni limekua kubwa mara dufu kuliko Uchumi wao wa Dolla T 30. Unaweza jifunza jambo hapa kwamba Unacho tangaziwa kuhusu Uchumi wa Marekani si halisia, Ni ajabu kwa taifa kama la Marekani...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania BRICS Currency Will soon going to challenge Dollar

    They will officially introducing it to members by 2027 BRICS is an alliance of developing nations Their Goal? To allow its member countries to trade among themselves using one shared currency BRICS without converting to the US Dollar. Before now, international trade has been heavily...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dola imeanza kushuka tena, Je ni fursa?

    Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa mwaka huu mpaka january 2026. Kama itapdanada tena kwa watu watakao nunua dollar 2300 na kuiuza 2700...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwa FX traders, mmeona dollar ilivyoanguka ghafla?

    Aisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma. Sijui ni tarriff za bwana trump au aje maana imeruka kinoma.
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

    Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣 Kuna watu ni very...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Dollar kunavyoongeza Deni la Taifa

    Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa? Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo . Sasa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

    I will be short Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar . USIseme...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Dollar inapanda kwa kesi 2705 /= . Inflation inapanda kwa kasi . In short tumeisha

    I will be short I work with dollars , Tanzania shillings Ina kuwa na high inflation . This means pesa yetu itakuwa worthless hii trend ikizidi . Mama yetu tunajua Uwezo wake . Serikali yetu tunaijua ilivyo sasa , worthless Kama una lipwa kwa Tanzania shillings jipange sana . Unaweza...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kusaidia uchumi wake. Fedha hizi ni sehemu ya mapitio ya tano ya mpango wa mikopo ya muda mrefu...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya China yaagiza benki zinazomilikiwa na serikali kupunguza ununuzi wa dola za Kimarekani

    Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru. JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
Back
Top Bottom