Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

Librarian 105

JF-Expert Member
May 6, 2023
239
325
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up

Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa.

Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka walionao. Kila kukicha manawazo ya kuunywa mvinyo wa ukoloni wa kifkra kwa kuamini njia za kiuchumi wapewe watu weupe ndio wenye uwezo wa kuziendesha na kuzisimamia kwa ufanisi.

Historia inajirudia soon.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom