wachambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. NITAKUKAMATA TU

  Hawa waandishi wetu wa habari, (wachambuzi) walikwama wapi kushindwa kupiga kura za ballon d orr tunazidiwa ata na burundi mwandishi wake kapiga kura

  Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
 2. SubTopic

  Maoni: Tuwape Wachambuzi wa soka wafundishe timu ya taifa

  Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
 3. K

  Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

  Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika. Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.! Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi...
 4. KEROZENE

  Kwanini nividharau Vipindi vyote vya Michezo vya Redio, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo Tanzania?

  Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni..... "Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
 5. C

  Wachambuzi wa soka ni chanzo kikubwa cha kusababisha kadi nyekundu

  Kuongezeka kwa kadi nyekundu katika raundi tano za mwanzo wa ligi ni jambo la kusikitisha. Hali hii imekuwepo kwa sababu inachochewa sana na vyombo vya habari. Katika hali isiyo ya kawaida, mwaka jana, timu ya prisons walikuwa wakiruka mithili wanacheza kung-fu hasa walipokutana na Simba.Hali...
 6. Kamanda Asiyechoka

  Suti za wachambuzi wa Azam sports hazina viwango. Wajifunze kwa wenzao UK

  Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa. Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
 7. KEROZENE

  Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

  Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo.... "Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote...
 8. Komeo Lachuma

  Wachambuzi walalamika Kudhalilishwa na Simba. Wasema wataigomea Club ya Simba

  Wachambuzi hao wanasema kwa sasa ni kama wanadhalilishwa sana. Kila wanapoenda kupost Insta kuwa Mchezaji X anasajiliwa Simba wanakuja kukuta siye. Hata wanaposema kuwa Simba itamtangaza mchezaji B wanakuta anakuja tangazwa mchezaji A. Jambo hili wanaona ni kama kudhalilishwa sababu wao tayari...
 9. GENTAMYCINE

  Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

  Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
 10. R

  Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

  Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
 11. Leak

  Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

  Habari. Hivi karibuni waandishi na wachambuzi wa soka wamekuwa wakimuogopa sana Haji Manara jambo ambalo nilikuwa naliona kwa mbali sana lakini kwa sasa limekuwa kubwa sana kiasi kwamba wachambuzi hawawezi tena kusema kwa uwazi madhaifu ya simba bila kupamba pamba na kupongeza kwanza kuogopa...
 12. K

  Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

  Naanza kwa kusema 'BIG UP' kwa Manara kwa kueleza waziwazi bila woga kitendo kibaya mno kilichofanywa na Yanga, kukimbia mechi bila kujali umati ule uliojazana pale kwa kivuli cha kanuni. La pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonesha uzandiki kwa wanaojiita Wachambuzi...kwa kutetea na...
 13. GENTAMYCINE

  Kwanini nakubaliana na Msemaji wa Simba kuwaita baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo Takataka?

  1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga. 2. Wengi wao ni Wanafiki sana. 3. Wengi wao wana Chuki na Simba. 4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba. 5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi. 6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba. 7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo...
 14. K

  Wapiga ramli na wachambuzi uchwara, mbona siwaoni mkiitisha Simba?

  Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao mliokuwa mnawaita wazee. Najua mmekula mlungura kutoka upande wa pili ili mcheze mind game against...
Top Bottom