Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama...
Kwa mfano,
Tukianzia na NCCR MAGEUZI,
utabaini kwamba kiburi, majivuno, ubabe na ulevi wa umaarufu wa muasisi na kiongozi wa kwanza wa chama hicho wakati huo hayati Augustino Lyatonga Mrema ndio ulifanya chama hicho kusambaratika na kutokomea kabisa katika active politics za Tanzania.
Hata...
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa...
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up
Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa.
Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.
Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.
Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?
Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.