Wasaalam,
Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana uwezo wa kujitegemea kabisa.
Kwa utafiti nilioufanya, hii kampeni inaendeshwa kwa asilimia kubwa...
Hali ilivyo sasa.
Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania, Azam, Cocacola Kwanza Tanzania na Mohamed Enterprises METL.
Mfumo unataka kampuni zote...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.
Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi.
Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali.
Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
Umesoma mpaka level ya Diploma ama Degree.
Je, kuna ujuzi/ maarifa gani umejifunza kibinafsi ili ikuwezeshe kupata ajira au biashara yako mpya kesho? Soko la ajira au ulimwengu wa biashara unataka ujuzi au maarifa ya ziada, husiwe na kitu ambacho kila mmoja anacho.
Mara nyingi vitu vya aina...
UTANGULIZI
Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia.
Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo yanayotokana na kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi.
Kama ilivyo kwenye maeneo mengine ya kimaisha...
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani.
Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu mitihani ya form six au Form four hata kidogo.
Wale waliofauli form six bado kama walijiunga na...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya...
Na Peter Mwaihola
Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library.
Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee.
Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu!
Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
WANAWAKE waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu.
Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa maoni yao juu ya mwenendo wa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.