Kama kuna mtu anaweza kufikisha kwenye habari za Maajabu ya dunia na ili la muungano liwekwe.
Ukiangalia hata mpangilio wa bunge, waziri yani wao wanaweza kutawala Tanganyika ila sisi kwao hata uwo kama raia wa muungano hupati.
Kweli tutamkumbuka Oscar Kambona.
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,
Na Cha kusikitikisha Kitambulisho Cha Taifa Kina Mlolongo Mrefu Mpaka kutoka Ila kikianza kutumika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi.
Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linawaarifu wananchi na abiria wote kuwa, kumekuwepo na vitambulisho mbalimbali vilivyoachwa katika treni na stesheni za SGR na MGR kutokana na sababu tofauti wakati wa safari.
Vitambulisho hivyo ni pamoja na: kitambulisho cha taifa (NIDA), leseni za udereva...
Serikali ya Ghana imepiga hatua kubwa katika teknolojia baada ya kuunganisha mfumo wa pochi ya kielektroniki (Digital Wallet) kwenye Kitambulisho cha Taifa (Ghana Card), hatua inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya kifedha duniani kote kwa kutumia kadi hiyo moja.
Mamlaka ya Vitambulisho ya...
Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana...
Habari wakuu
Naomba kuuliza kama kitambulisho Cha taifa kimepotea,Kuna utaratibu Gani wa kukipata upya??
Sina mengi ya kusema, nawasilisha mada. Wenu mtiifu katika jamiiforum
Cassnzoba
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa waliopoteza vitambulisho.
Msaada kwa anaejua.
Shukrani
Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa nini maana kuwa na kitambulisho cha Taifa!
Kipi ni kikubwa, kikuu au cha muhimu zaidi kati ya...
Kwanza napenda kuipongeza Wizara ya Tamisemi kwa kuja na mfumo mpya wa kadi za kieletroniki katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi.
Sambamba na pongezi hizi bado kuna changamoto ambazo ni mzigo kwa raia.
1. Ili upate kadi hiyo utalazima kuwa na aidha kadi ya mpiga kura, pasi ya kusafiria...
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma.
Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja na vigezo vingine ni pamoja na KADI YA KLINIKI.
Sasa hapa kweli, mtu aliacha kwenda klinic miaka ya...
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka.
2. Nililalamika ushenzi...
Ni muhimu sana kuwa na kitambulisho cha Taifa, na ukishakipata kitunze vizuri kisifike katika mazingira yenye uharibifu.
Je, umepata kitambulisho cha Taifa?
Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa raia wengi wanaokamatwa wakimiliki nyaraka hizo ni kutoka nchi kama vile Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan...
"NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni.
"Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.