Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti.
Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo.
Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025.
Tangazo hilo amelitoa leo Jumapili, Juni 15, 2025, alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu tarehe ya kuvunjwa...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema ili kuongeza vijana kwenye nafasi za maamuzi ni vyema mbunge wa kuchaguliwa akaruhusiwa kuongoza kwa vipindi vitatu pekee(miaka 15) kisha baada ya hapo asigombee tena.
Olengurumwa ameeleza...
Habari za muda huu waungwana wa hapa.....
Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo.....
Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema.......
Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa
Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa
Na zingine zinaozea vituoniiii
TUNAOMBA tu kama USHAURI hixipikpik pale OFISIN hazileti picha nzuri
LA kufanya muwe na mda kadhaa...
ednesday, October 23, 2013 KUELEKEA UCHAGUZI WA TFF: HII NDIO ILANI YA UCHAGUZI YA MGOMBEA JAMAL MALINZI
UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013
ILANI YANGU YA UCHAGUZI
Utangulizi
Ndugu...
Hellow!
Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu.
Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015.
Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama,"
"chama chetu kimeweka ukomo wa...
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili.
Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo
https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.