kahawa

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa Ardhi Lindi: Wananchi Muhimbili Juu tunadhulumiwa maeneo yetu bila kupata msaada wowote

    Habari, Wananchi wa Mtaa wa Muhimbili Juu, Kata ya Rasibula, Manispaa ya Lindi, tunataka kunyang’anywa ardhi yetu katika mgogoro ambao umedumu tangu mwaka 2022. Mtu anayejulikana kwa jina la Kahawa kavamia maeneo yetu. Katika utatuzi wa awali, ilipendekezwa kuwa atufidie wananchi au...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chai ya maziwa sio maziwa na kahawa

    Nimeagiza chai ya maziwa nimeletewa maziwa na kahawa nichanganye! Hakika Watanzania wengi wana IQ ya Panzi.
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kagera yaongoza kilimo cha kahawa Tanzania,aslimia 50 ya Kahawa yote inazalishwa kagera

    Mkoa wa Kagera unatajwa kuwa kinara wa kilimo cha kahawa Nchini Tanzania ikizalisha aslimia 50 ya Kahawa yote inayolimwa Nchini humo. Kagera pia inatajwa kama mkoa ambao kwa Sasa wakulima wake wanuza kahawa kwa mfumo wa kidijitali mfumo unaotaiwa kuwa Bora na usiokuwa na ujanjaujanja kutoka...
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kahawa Tanzania yaimarisha utayari wa kuzingatia kanuni ya EUDR

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Taasisi ya Misitu ya Ulaya (EFI) na kampuni ya sheria ya NexLaw Advocates mapema aeptemba 15 mwaka huu iliandaa warsha ya pili ya wadau. Warsha hiyo ilikuwa sehemu ya jitihada zinazoendelea za kuimarisha utayari wa sekta ya kahawa nchini...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kahawa ni kitu ghali sana😧

    Huko nyuma gram 50 za Africafe zilikuwa Tsh 4000. Leo hii zimefika 7,000!! Utafikiri hatulimi wenyewe. Kwa hizi hesabu kilo ya kahawa itakuwa Tsh 140,000. Laki moja na arobaini! Nadhani wakaanga kahawa wa kitaa wanahitajika kwa wingi.
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania HECHE ALIDHANI MAHAKAMA NI KIJIWE CHA KAHAWA?

    Mwenendo wa kesi inayomkabili Tundu Lissu umeibua maswali mengi kuhusu namna shahidi wake John Heche, alivyokuwa amejiandaa kabla ya kufika mahakamani. Maswali ya Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, yaligusa mambo muhimu ya Katiba, uchaguzi, hati ya mashitaka na misingi ya sheria. Katika baadhi...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Kahawa Festival msimu wa 7 mwaka huu wa 2026 katika picha

    Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
  9. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DC Godfrey Mnzava azindua msimu wa Saba Kahawa Festival na kusisitiza unywaji wa kahawa kukuza soko la ndani

    Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani . Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima karibu wote wana msiba wa bei za mazoa yao, ila wakulima wa kahawa wana furaha sana

    Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza. Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  12. Akotia

    JamiiForums Tanzania Jipatie fresh na safi kahawa 250grams kwa 10,000Tsh. Brewa coffee

    Wadau Brewa coffee ni wakaangaji kahawa(coffee roaster) tuliopo Dar es salaam. Tunauza coffee beans na kahawa iliyosagwa. Kahawa ya Tanzania ni nzuri na ina harufu nzuri sana. Unachagua style unayopenda kama ni light roast,medium roast or dark roast. Ukitaka isagwe kabisa au kama una grinder...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kyerwa, Kagera: Kuna tofauti ya bei ya Kahawa Tanzania na Uganda, wakulima tunapigwa tukiuza Kahawa yetu Uganda

    Katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hususan katika kata zinazopakana na nchi jirani ya Uganda, yaani kata za Mrongo na Bugomora, wananchi ni wazalishaji wakubwa wa zao la kahawa aina ya Robusta kwa wingi. Lakini kumekuwa na unyanyasaji mkubwa ambapo mamlaka husika wilayani humo zimekuwa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Teenager Arrested Over Kahawa Wendani Child Abduction as Kenya's Missing Children Crisis Deepens

    A viral CCTV clip, a two-year-old girl, and a 15-year-old suspect, the case that gripped Nairobi has ended with a rescue, but the bigger question remains unanswered. The search for a missing toddler that gripped Nairobi for days came to a dramatic conclusion after police arrested a teenage...
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka buni hadi kikombe cha kahawa: Je Yunnan imewezaje kuongeza ubora wa kahawa yake?

    Kwa sisi wageni tunaoishi China, linapokuja suala la unywaji wa kahawa, mara nyingi tunajiuliza: Wachina walifanyaje hadi kahawa ikawa kinywaji kinachopendwa katika nchi ambayo kwa maelfu ya miaka inajulikana zaidi kwa chai yake? Hata hivyo, katika miongo miwili iliyopita, mapinduzi ya kahawa...
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kikombe cha kahawa

    Nipo pembeni mwabkitanda changu nimekaa na kikombe cha kahawa,isiyokuwa na maziwa au sukari.Pembeni kuna redio ndogo nasikiliza mambo mbalimbali kwa sauti ya chini sana.Kitandani kalala mke wangu yupo fo fo fo kabisa. Kalala kwa amani kabisa akijua yupo mlinzi wake.Nyumba nzima ni...
  18. Akotia

    JamiiForums Tanzania Jipatie a 800ml french press pamoja na kahawa bure kwa 89,000Tsh tu.

    Kwa wale wadau wa kahawa,french press madhubuti sasa zimekuja tena. Ukinunua unapewa na kahawa 200 gram quality buree ya kuanzia maisha.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  20. Akotia

    JamiiForums Tanzania Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
Back
Top Bottom