reginald mengi

Reginald Abraham Mengi (c.1943 – May 2, 2019) was a Tanzanian billionaire, businessperson, philanthropist, and author of the book I Can, I Must, I Will,. He was the Chairman of Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Confederation of Tanzania Industries, IPP Gold Ltd., Media Owners Association of Tanzania, Executive Chairman & Owner at IPP Ltd. (Tanzania) and Chairman of Handeni Gold, Inc. Mengi had an estimated net worth of US$560 million as per Forbes richest people in Africa 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kati ya Marehemu Mengi na MO Dewji nani bingwa wa kusaka hela?

    Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO. Sababu zangu ni hizi:- 1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti. 2. Mengi ni hustler aliyeanza kuuza karanga, kalamu na sare za shule. MO alikuta mali tayari zipo. 3. Mengi alikuwa...
  2. Replica

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi. Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
  3. Kiturilo

    Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

    Mirathi ya marehemu Dkt Mengi imezua balaa baada wasimamizi wake kuburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukataa kuwahudumia watoto wa Mengi aliozaa na Jacqueline Ntuyabaliwe. Kesi hii imefunguliwa ikiwa mke huyo mdogo wa Mengi akiwa amezuiwa kukanyaga Kilimanjaro hata kwenda kusafisha kaburi la...
  4. Kurunzi

    Kesi ya urithi wa Marehemu Dkt. Mengi: Yaliyojiri Mahakamani

    MONDAY MAY 24 2021 Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha. Tafrani na hali ya kutoelewana huwa kubwa zaidi kama aliyefariki na kuacha ama kutoacha wosia alikuwa tajiri...
  5. DeepPond

    Umejifunza nini Mgogoro wa Jackline Ntulyabaliwe vs Familia ya Reginald Mengi?

    Wakuu Natumai mmeamka vema kabisa. Mgogoro Kati Bi. Jackline Ntulyabaliwe ( msanii k-lyn) na Familia ya marehem Biliionea mfanyabiashara Bw. Reginald Mengi (Mzee Mengi) umechukua sura mpya katika jamii yetu. Yote hii inachangiwa zaidi na umaarufu waliokua nao Wote wawili. Hapa tunaongelea...
  6. Replica

    Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
  7. Mimi.

    Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
  8. A

    Reginald Mengi alikuwa sio mtanzania wa kawaida, alikuwa ni mtu wa aina yake.

    Navosema reginald mengi hakuwa mtanzania wa kawaida, sisemi ivo kwasababu ya utajiri au umaarufu wake.. Ni kwasababu aliweza ku-maintain utajiri wake na aliweza ku-maintain kuishi lifestyle ya kitajiri mbele ya jamii kwa miaka 25 mfululizo, tangu mwaka 1995 alivotoa tsh million 300 za skuvi na...
  9. Somoche

    Mwaka Mmoja Tangu kifo cha Billionea Reginald Mengi Tunamkumbukaje? Ni nini tumejifunza kutokana na maisha yake? Je, pengo lake limezibwa?

    Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa? Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
  10. Pascal Mayalla

    ITV mnachotufanyia kwenye Isidingo is not fair at all. Msitufanye tuanze kumkumbuka Mzee Reginald Mengi this soon!

    Wanabodi, Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy. Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile concistance yake, Isidingo ni saa 1:30 usiku. Kwa vile naipenda sana tamthilia ya Isidingo and I can't...
  11. Roving Journalist

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    Taarifa rasmi zinaonyesha kuwa Mzee Reginald Abraham Mengi(77yrs) amefariki dunia. Mengi amefikwa na umauti akiwa huko Dubai (UAE) alikokuwa kwa matibabu. Mzee Mengi alizaliwa mwaka 1942 mkoani Kilimanjaro. Update: ITV wamethibitisha HISTORIA YA MENGI KWA UFUPI Dr. Mengi alizaliwa mwaka...
Back
Top Bottom