kusafirisha

 1. Pfizer

  Kagera: TANESCO kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya Benaco-Kyaka

  TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA 📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Benaco - Kyaka Na Charles Kombe, Dar es Salaam Shirika...
 2. Nyendo

  Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

  Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
 3. Azniv Protingas

  Wizi unaofanywa na makampuni ya kusafirisha watu kwa ajili ya kazi nje ya Tanzania

  Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni. Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
 4. Offshore Seamen

  Muitikio mdogo wa kusafirisha bidhaa nje ya nchi (Exportation)

  Tqnzania tuna bidhaa nyingi za kilimo,uvuvi,misitu na madini zinazo hitajika nje ya nchi. Kwenye kuagiza(Import) tumekuwa na kiwango kikubwa cha kuingiza bidhaa kuliko kusafirisha nje (export). Kwenye kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania (Import) wafanyabiashara na waagizaji wa...
 5. Roving Journalist

  Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
 6. MASTERCHIEF 255

  SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

  Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...
 7. Mdude_Nyagali

  Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

  16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji...
 8. M

  Kusafirisha kitanda

  Wakuu kwema. Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar. Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro?? NB. Mimi ni mgeni Morogoro. Natanguliza shukran zangu kwenu...
 9. DENLSON

  Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

  Habari wana Jamii Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
 10. M

  Msaada: Nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha Container (empty) kutoka China mpaka Tanzania

  Wadau, Nataka kusafirisha empty container kutoka China mpaka Tanzania, je ni kiasi gani kusafirisha kwa container na je nitatakiwa kulipa ushuru/kodi yoyote kulitoa bandarini? Asanteni sana.
 11. JanguKamaJangu

  Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
 12. Erythrocyte

  Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

  Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...
 13. chiembe

  CHADEMA yazidi "Kukunwa" na uongozi wa Rais Samia, sasa zamu ya Salum Mwalimu, ammwagia sifa kufanikisha maridhiano

  CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme. Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika Rais Samia ni kiongozi bora...
 14. Bull Bucka

  Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

  Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
 15. J

  Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

  Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
 16. 5

  Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

  Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
 17. A

  Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

  - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
 18. Jackal

  Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

  Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔 ..... https://m.jpost.com/international/article-761179
 19. M

  Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

  Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
Back
Top Bottom