riba

 1. YEHODAYA

  Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

  Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
 2. superbug

  Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

  Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
 3. noiselessly hunter

  Benki yenye riba nafuu hapa Tanzania

  habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya tanzania.nilipita nmb na mwalimu commercial bank,riba zao ni asilimia 17,na kuna baadhi ya mambo...
 4. OEDIPUS

  Je, mikopo isiyo na riba ya serikali inatangazwa kiwango cha kutosha?

  Ili kupunguza tatizo la ajira nchini, serikali kupitia Halmashauri zote nchini na Mfuko wa Rais, wanatoa mikopo isiyo na riba kwa vijana, wanawake na walemavu Halmashauri zinatoa asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa vijana, wanawake na walemavu, ikiwa ni asilia 4, wanawake, asilimia 4 vijana...
 5. Bonde la Baraka

  Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

  Mimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF. Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime mwingine. Changanua wazo lako na weka namba ya simu kama utapenda kuiweka hapa Kisha members wengine...
 6. Mr. MTUI

  Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

  Embu jionee.
 7. Goodluckmkali

  Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

  Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote. Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:- (a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva. (b)laini ya...
Top Bottom