corona

 1. M

  Juni 10 IMF & World Bank kuamua iwapo Tanzania tunakidhi kupewa mkopo tulioomba kupambana na corona au hatustahili

  June 10 bodi ya wakurugenzi wa shirka la fedha Duniani na Bank ya Dunia kuamua iwapo tunastahili kupewa msamaha na mkopo kupambana na corona au laa. Mwezi April IMF na WB walitengeneza kitu kinaitwa Catastrophe Containment and Relief Trust ili kusaidia nchi masikini kupambana na madhara ya...
 2. beth

  Visa vya Corona vyaongezeka hadi 557, visa vipya 35 vyatangazwa

  Wizara ya Afya imesema visa vipya 35 vimethibitishwa nchini humo baada ya sampuli 2,267 kufanyiwa vipimo. Kati ya sampuli hizo 1,412 ni kutoka mipakani na 855 ni za wananchi wa kawaida Vilevile, madereva 31 kutoka Kenya-18, Tanzania-7, DR Congo-4 na Burundi-2 wamerudishwa nchini kwao baada ya...
 3. Cannabis

  Dkt. Rahma Shangali: Mambo 7 niliyojifunza toka kwa Rais Dkt. Magufuli kutokana na janga la corona

  Dunia bado inaendelea kupigana na ugonjwa wa korona. Miezi ya hivi karibuni imekuwa ya heka heka na maamuzi mengi kwa karibu kila mtu duniani kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa. Binafsi nimetumia muda huu kuchukua tahadhari kuzuia maambukizi kwangu, familia na wale wanaonizunguka lakini pia...
 4. Barbarosa

  Autopsy- George Floyd alikuwa na Corona!

  Autopsy imeonyesha George Floyd alikuwa na virusi vya Corona, alikuwa na Corona, ...
 5. FRANC THE GREAT

  Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

  George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha. Hati yenye...
 6. M

  Baada ya ujio wa corona ndio nimemuelewa Jacob Zuma aliposema kuhusu kuosha na maji na sabuni

  Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni (usanitiise) vitu vyako ukae utulie. Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa...
 7. B

  Corona ipo hadhari, Rwanda waripoti kifo cha pili

  Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari! Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa. Inasikitisha. Akapumzike kwa...
 8. Afrika Yote

  FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

  Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
 9. G Sam

  Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

  Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
 10. YEHODAYA

  Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

  Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
 11. B

  Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

  Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
 12. mimi mtakatifu

  Tuzitazame fursa za kiuchumi kipindi hiki cha Corona

  Ikiwa dunia inapitia kwenye mtikisiko mkubwa wa kiafya na kiuchumi baada ya kukumbwa na janga la corona. Tumeshuudia biashara, ajira, uwekezaji nk vikiporomoka. Lakini wanasema penye kila changamoto kuna fursa, tumeona baadhi ya fursa zilizojitokeza kwenye kipindi hiki kama ushonaji wa...
 13. J

  Mwongozo: Wizara ya Afya imetahadharisha kuwa COVID19 bado ipo; tunaishije?

  Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii. Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna ya kuishi na gonjwa hili miongoni mwetu huku tukiendelea kutimiza majukumu. Katika mchakato huu...
 14. R

  Hata Marekani Corona imeisha

  Si mmeona Marekani wanavyoandamana dhidi ya mauaji ya George Floyd? mmeona protester aliyevaa barakoa? Mmeona social distancing? Si mmeona wanavyoshikamana mikono? Si mmeona wanavyoimba kwa sauti wakiwa wamesongamana kwenye maandamano? Corona iko wapi hapo?
 15. MK254

  Ebola yaibuka DRC huku wakipambana na Corona na vita baina yao

  DRC ni kama wana gubu, yaani kisirani fulani hivi, corona inawatesa, hawajatulia Ebola imewakondolea macho tena halafu walivyo wa ajabu bado wanapigana licha ya mahangaiko hayo.... ====== Five people, including a 15-year-old girl, have died of Ebola in a fresh outbreak of the virus in the...
 16. Salim A. Msangi

  Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

  Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
 17. Salim A. Msangi

  Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

  Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
 18. Salim A. Msangi

  Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

  Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
 19. Salim A. Msangi

  Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

  Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
 20. beth

  Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

  Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
Top Bottom